Jamani jamvini,
Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!
Asanteni kwa mawazo!
Hapo hapo taratibu shostito ..............akina The Finest, Fidel watakusaidia kupafafanua hapo .....otherwise jihami.
Only tigo will keep your husband away from vicheche:A S-confused1: ndunguli is not sufficient enough :behindsofa: are u still there?
The King...............wa kutoka ni wakutoka tu hata umfungie nini.....si wanasema sikio la kufa halisikii dawa na adili haachi asili??
Akifanya unavyomshauri itabidi atafute shangingi la kumkeep up to date in terms of trainings juu ya mapenzi maana kama ni line ya tigo hata akimpatia itabidi ajifunze na aina za customer services zinazotolewa maana kila kukicha zinaintrodusiwa mpya......wahudumu wa kampuni hii (vicheche) ni wabunifu wa hali ya juu ati linapokuja swala la kuwaridhisha wateja wao. Maana siku hizi wengine wanatoa ile inayoitwa Perfumed Package - PP) ambapo kile mteja anatakiwa kudial number na kupewa huduma hiyo ikiwa imeambatanishwa na perfumes especially zile za kiarabu kama udi, sijui alhood--wifi naye itabidi ajifunze---- wengine wanatoa huduma ya Warm Atmosphere Package - WAP ambapo mteja anapatiwa huduma yenye vuguvugu kumpatia lile joto alipendalo--- bi shosti naye itabidi aupdate skills zake ili aweze kucompete kwenye hii mobile lines market, wengine wanatoa huduma ya Squeze and Release Package -SRP line inabanwa na kuachia, bana, achia kama inavyofanyikaga katika lile huduma ya Shinda Mkoko ya vodacom.......... sasa dada naye ajifunze ......ah kila siku vicheche wanagundua juzi mpya sasa ........dada kazi itakuwa ni kujifunza tu....mwisho wa siku bado inakula kwake anabaki analia wakati Barrick Gold Company weshamaliza hazina ya Gold kule Geita wamemwachia mahandaki tu-------- environmental destruction.
Astick tu kwenye kuboresha line yake ya Voda (Only kama ndio kinachomkimbiza prezidaa) (Kegel excercises), awe mbunifu na kuwa makini otherwise atapata presha, shell, BP mpaka Big Bon.
(naona hii wiki hii akili zangu zimechakachuliwa hizi emotional threads jamani zipunguzeni wengine tutapewa BAN za milele sasa.................)
Pole Shemeji yangu ndo ntafanyeje tena maana nimewekwa jukwaani so inabidi nifunike kombe ati.hapa sijasoma/elewa kitu
mfungie gps ambayo itakuwezesha kujua popote alipo umfate kirahisi
Aende kwa Dr Ntambanamungu anayo dawa ya kumfungashia hiyo kitu ya mumewe akae nayo yeye, wakati akitaka kuitumia anaifix tu pale kama unavyoweka balbu kwenye holder anaendelea. Lakini ole wake bibi akifa itabidi bwana abaki asexual!
Tatizo kubwa ni wadada wengi hufikiri kuwa wakishaolewa tu kazi imeisha,kumbe wanajidanganya maana hapo kazi huwa ndio imeanza mtu ukishajulikana umeoa ndio wanakuona kumbe uko serious na mitego utakayopewa, kuishinda yahitaji uwezo wa roho mtakatifu.Na ukishaanguka kwenye mtego mmoja tu basi kutoka ni kazi kubwa maana hawa wahudumu wa pembeni wanajua hasa kutoa huduma,na wanahakikisha wanakupa kile ambacho mke wako hawezi kukupatia na kila siku ni wabunifu wa hali ya juu katika kunogesha uhusiano wao haramu.Kuondokana na hilo ni vyema wadada wakabadilika na kuwa karibu zaidi na wenzi wao ili kujua wanahitaji nini katika mahusiano na sio kuwa serious tangu jua linakucha mpaka jua linazama ukiringa kuwa si kanioa.Wengine hufikia mpaka kuwaambia wenzi wao we mshenzi si mimi nakusemesha mbona hunijibu sasa kwa hali hiyo siku akikupatia msaidizi utamlaumu nani?[/B]
Only tigo will keep your husband away from vicheche:A S-confused1: ndunguli is not sufficient enough :behindsofa: are u still there?
Jamani jamvini,
Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!
Asanteni kwa mawazo!
Tatizo kubwa ni wadada wengi hufikiri kuwa wakishaolewa tu kazi imeisha,kumbe wanajidanganya maana hapo kazi huwa ndio imeanza mtu ukishajulikana umeoa ndio wanakuona kumbe uko serious na mitego utakayopewa, kuishinda yahitaji uwezo wa roho mtakatifu.Na ukishaanguka kwenye mtego mmoja tu basi kutoka ni kazi kubwa maana hawa wahudumu wa pembeni wanajua hasa kutoa huduma,na wanahakikisha wanakupa kile ambacho mke wako hawezi kukupatia na kila siku ni wabunifu wa hali ya juu katika kunogesha uhusiano wao haramu.Kuondokana na hilo ni vyema wadada wakabadilika na kuwa karibu zaidi na wenzi wao ili kujua wanahitaji nini katika mahusiano na sio kuwa serious tangu jua linakucha mpaka jua linazama ukiringa kuwa si kanioa.Wengine hufikia mpaka kuwaambia wenzi wao we mshenzi si mimi nakusemesha mbona hunijibu sasa kwa hali hiyo siku akikupatia msaidizi utamlaumu nani?
Jamani jamvini,
Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!
Asanteni kwa mawazo![/QUO
ukianza kuamini hayo unapotea kabisa wewe mpe tu mapenzi ya nguvu mbona atasahau hivyo vyangu vyake.nyonya nyonya mama!acha uvivu lakini usitoe ile kitu ukitaka shindana na mabudege ya huu mji,maana na nyie kwenye ndoa nanyi mnapenda ushindani.huyo ni wako tu na ataendelea kuwa wako.mpagawishe na malovee tu
yaani rev kabisa huo ndio ushauri wako?:nono::nono::nono::doh:Boresha mahusiano yako kimapenzi kwa kutumia tiGo pekeee!