M5tena.Maji tiririka ni shida mno kupatikana. Huku Nanjilinji tunaamka saa 10 alfajiri kwenda kuyasaka. Tunarudi saa nne asubuhi alafu uniambe yawe ya kunawa.
Kwa hiyo ni dada na mama yake poleni.
na sisi jana tumezika
Nani?Kuna mutu natamani afikwe na changamoto ya upumuaji
Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana.... Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
Mama Konga kafariki Jana, hebu ulizia nini kimeipata familia yake siku hizi tano?
Kovu la D naona sasa linatupa makovu kweli kweli.
Unajua mambo ya umoja na vyama kuna mmoja alikwenda Kagera kurudi akaja na mafua makali na kifua si muda kamuondoa mumewe baada ya watu kuja msibani kesho mwana umoja kafa.
Sasa sijui nani anafuata na wote kifua kilichowaondoa
Upi tena😬Acha uongo ndugu 😊
Upi tena😬
Yaani kanapiga balaa...Ni hatari sana ukiangalia yule aliekua anasema hamna corona jana Na yeye kavaa Mask.
Bado tu hamjaacha ujinga?Mimi ninaomba abaki salama akajibu mashtaka ICC. Ninaomba Mungu amlinde katika hili.
Hapo opposite na octopus, jirani na Mbeya Peak, jioni wanachoma nyama vizuri sana hapo hukaa nikila nyama mara kwa mara.
Pia stand kuu Kuna kabaa fulani, wanachoma nyama za mafungu, Basi nikikaa pale yaani nafurahi Sana.
Pia Karembu na kwa Mwailubi.
Hii inaitwa Samson manyweleNaona unajikabidhi kwa wasiojulikana
Mama Konga kafariki Jana, hebu ulizia nini kimeipata familia yake siku hizi tano?
Sasa ujiulize kama wasingechukuwa tahadhari (ambayo wewe unaandika tahadhali) wangerekodi vifo vingapi! Ndiyo maana watu wanasema huu ugonjwa siyo mzaha lakini nyie wajinga wajinga mnaamua kutetea ujinga wa mjinga mmoja.Bado tu hamjaacha ujinga?
Ujerumani leo wamerekodi vifo 970,hiyo ni pamoja na tahadhali zote zile!
Alafu wewe hapa unabwata tu
Siyo kila anayefariki amefariki kwa corona. Ila kuna mjinga mmoja ameweka mazingira ya uzushi kutamalaki kwa kukataza ukweli wa kujua wanaokufa kwa corona kusemwa. Watu wakizuiwa kusema ukweli basi uvumi unachukuwa nafasi ya ukweli.Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika [sana], kifo cha Pastor Abel hakijatokana na COVID 19 au udhaifu katika mifumo ya upumuaji.
Waungwana hujitenga na uongo na waongo. Tujisahihishe.