TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana.... Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.

Baada ya Lucifer ni wewe katika ulimwengu wa kishetani
 
Kovu la D naona sasa linatupa makovu kweli kweli.

Unajua mambo ya umoja na vyama kuna mmoja alikwenda Kagera kurudi akaja na mafua makali na kifua si muda kamuondoa mumewe baada ya watu kuja msibani kesho mwana umoja kafa.

Sasa sijui nani anafuata na wote kifua kilichowaondoa

Embu tulia halafu elezea vizuri mkuu
 
Mimi ninaomba abaki salama akajibu mashtaka ICC. Ninaomba Mungu amlinde katika hili.
Bado tu hamjaacha ujinga?

Ujerumani leo wamerekodi vifo 970,hiyo ni pamoja na tahadhali zote zile!

Alafu wewe hapa unabwata tu
 
Hapo opposite na octopus, jirani na Mbeya Peak, jioni wanachoma nyama vizuri sana hapo hukaa nikila nyama mara kwa mara.
Pia stand kuu Kuna kabaa fulani, wanachoma nyama za mafungu, Basi nikikaa pale yaani nafurahi Sana.
Pia Karembu na kwa Mwailubi.

Naona unajikabidhi kwa wasiojulikana
 
Wabongo tunapenda kufa. Yaani tunalazimisha kila kifo kiwe ni kijidudu.

Mtakufa wote mnaokipigia debe. Ngoja wananzengo Yule nchi kwa amaani
 
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika [sana], kifo cha Pastor Abel hakijatokana na COVID 19 au udhaifu katika mifumo ya upumuaji.
Waungwana hujitenga na uongo na waongo. Tujisahihishe.
 
Bado tu hamjaacha ujinga?

Ujerumani leo wamerekodi vifo 970,hiyo ni pamoja na tahadhali zote zile!

Alafu wewe hapa unabwata tu
Sasa ujiulize kama wasingechukuwa tahadhari (ambayo wewe unaandika tahadhali) wangerekodi vifo vingapi! Ndiyo maana watu wanasema huu ugonjwa siyo mzaha lakini nyie wajinga wajinga mnaamua kutetea ujinga wa mjinga mmoja.
 
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika [sana], kifo cha Pastor Abel hakijatokana na COVID 19 au udhaifu katika mifumo ya upumuaji.
Waungwana hujitenga na uongo na waongo. Tujisahihishe.
Siyo kila anayefariki amefariki kwa corona. Ila kuna mjinga mmoja ameweka mazingira ya uzushi kutamalaki kwa kukataza ukweli wa kujua wanaokufa kwa corona kusemwa. Watu wakizuiwa kusema ukweli basi uvumi unachukuwa nafasi ya ukweli.
 
Back
Top Bottom