TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Kwani kuna ajabu gani ikijulikana amekufa kwa corona??? Mbona ki2 cha kawaida sana, ni kama malaria tuuu,,, na co kama Aids.
We hujui kuwa tunalinda uchumi Mkuu?........... Yaani hapa tungekuwa (kama bado hatujajaribu) na uwezo wa kuwasiliana na kuwakonsaliti wale Wakulungu kutoka Sumbawanga au Gambosh tungekuwa tumeshawakonsaliti ili tuushangaze ulimwengu..................Kamatia fursa aisee.
 
Dah
Yaani hii mikusanyiko ya kiimani hata sijui tufanyeje............ Mwaka mpya kwa Mwamposa walikataza mkesha (May be ilikuwa kwa ajili ya usalama wa waumini Usiku wa mwaka mpya) but mikusanyiko bado ipo na inaendelea kuwepo. Hapo bado kwenye misiba hasa maeneo ya mikoani na vijijini. Mungu atusaidie kwa kweli.

#Ulinzi wa Afya yako na ya familia yako uko mikononi mwako#
Misiba DAr ndio ina mikusanyiko kuliko mikoani.
Zuchu na Diamond Nyange Munishi wanakusanya watu kwenye masherhe yao na keshokutwa 14-02 kuna VALENTINE WATAKUSANYANA TENA.

Viongozi wanapiga usanii na dhihaka, tuyendelee kumuomba Mungu kwa ji a la Yesu atatuponya na "tauni hii"
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Sasa hivi kila marehemu anasingiziwa shida ya upumuaji
 
Ni kweli kabisa usemayo ila kwa nilivyoona mimi wanaoondoka wengi ni wenye umri mkubwa kidogo kulinganisha hao wanaohudhuria matamasha ya kina Zuchu........ Sijui lakini ninaweza kuwa nimekosea Mkuu
 
Acha kabisa............Ila kwetu sisi tangazo la kifo, cause of Death iliandikwa Natural............ Wakati tulinunulishwa mpaka dawa za kutoa maji kwenye mapafu................... Yaani hakuna direct cause of death bora hata wa sasa wanaandikiwa Pneumonia (Kama wanaandika kweli)
 
Ni kweli kabisa usemayo ila kwa nilivyoona mimi wanaoondoka wengi ni wenye umri mkubwa kidogo kulinganisha hao wanaohudhuria matamasha ya kina Zuchu........ Sijui lakini ninaweza kuwa nimekosea Mkuu
tumezika mawakili 10 , nane ni hao wa matamasha ya kina Zuchu, usicheze na hii Covid,
 
ok.............. Ila kwa kuwa ni taboo siku hizi haisemwi haya na tuwe makini... Dah Msanii ni Kioo cha Jamii...........Wangetafuta hata mashahiri yenye tafsida wakawajuza watu hali halisi au wanajiona wao wako salama??
 
well said
 
R.I.P Baba mchungaji. Wachungaji wapo kwenye risque,maana wanakutana na watu wengi. Kila muumini anakwenda kumpa mkono mchungaji.
 
alafu ndio shida hapo sasa.
Nakumbuka Pastor Miti Mingi aliondoka mwaka jana na hii Covid baada ya kukutana kwenye semina na Mama Lwakatare , wote wakaondoka kwa huyu mdudu toka China.
 
Back
Top Bottom