TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Ndoto za mchana....Mimi ninaomba abaki salama akajibu mashtaka ICC. Ninaomba Mungu amlinde katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto za mchana....Mimi ninaomba abaki salama akajibu mashtaka ICC. Ninaomba Mungu amlinde katika hili.
Ahh hongera kwa kumiliki gariMi huwa napark gari yangu kwenye soko la Uhindini lililoungua
We hujui kuwa tunalinda uchumi Mkuu?........... Yaani hapa tungekuwa (kama bado hatujajaribu) na uwezo wa kuwasiliana na kuwakonsaliti wale Wakulungu kutoka Sumbawanga au Gambosh tungekuwa tumeshawakonsaliti ili tuushangaze ulimwengu..................Kamatia fursa aisee.Kwani kuna ajabu gani ikijulikana amekufa kwa corona??? Mbona ki2 cha kawaida sana, ni kama malaria tuuu,,, na co kama Aids.
Misiba DAr ndio ina mikusanyiko kuliko mikoani.Dah
Yaani hii mikusanyiko ya kiimani hata sijui tufanyeje............ Mwaka mpya kwa Mwamposa walikataza mkesha (May be ilikuwa kwa ajili ya usalama wa waumini Usiku wa mwaka mpya) but mikusanyiko bado ipo na inaendelea kuwepo. Hapo bado kwenye misiba hasa maeneo ya mikoani na vijijini. Mungu atusaidie kwa kweli.
#Ulinzi wa Afya yako na ya familia yako uko mikononi mwako#
Ni kweli kabisa usemayo ila kwa nilivyoona mimi wanaoondoka wengi ni wenye umri mkubwa kidogo kulinganisha hao wanaohudhuria matamasha ya kina Zuchu........ Sijui lakini ninaweza kuwa nimekosea MkuuMisiba DAr ndio ina mikusanyiko kuliko mikoani.
Zuchu na Diamond Nyange Munishi wanakusanya watu kwenye masherhe yao na keshokutwa 14-02 kuna VALENTINE WATAKUSANYANA TENA.
Viongozi wanapiga usanii na dhihaka, tuyendelee kumuomba Mungu kwa ji a la Yesu atatuponya na "tauni hii"
Acha kabisa............Ila kwetu sisi tangazo la kifo, cause of Death iliandikwa Natural............ Wakati tulinunulishwa mpaka dawa za kutoa maji kwenye mapafu................... Yaani hakuna direct cause of death bora hata wa sasa wanaandikiwa Pneumonia (Kama wanaandika kweli)Sasa hivi kila marehemu anasingiziwa shida ya upumuaji
Kuwa muwazi tupo wengi mkuuKuna mutu natamani afikwe na changamoto ya upumuaji
tumezika mawakili 10 , nane ni hao wa matamasha ya kina Zuchu, usicheze na hii Covid,Ni kweli kabisa usemayo ila kwa nilivyoona mimi wanaoondoka wengi ni wenye umri mkubwa kidogo kulinganisha hao wanaohudhuria matamasha ya kina Zuchu........ Sijui lakini ninaweza kuwa nimekosea Mkuu
ok.............. Ila kwa kuwa ni taboo siku hizi haisemwi haya na tuwe makini... Dah Msanii ni Kioo cha Jamii...........Wangetafuta hata mashahiri yenye tafsida wakawajuza watu hali halisi au wanajiona wao wako salama??tumezika mawakili 10 , nane ni hao wa matamasha ya kina Zuchu, usicheze na hii Covid,
Tusisahau kushusha na k-vant, inatekeleza virusi vya covidR.I.P kwake mchungaji 😪😢
Tuendelee kujifukiza
Au naongopa ndugu zangu? Mzaha sio mzaha?
well saidok.............. Ila kwa kuwa ni taboo siku hizi haisemwi haya na tuwe makini... Dah Msanii ni Kioo cha Jamii...........Wangetafuta hata mashahiri yenye tafsida wakawajuza watu hali halisi au wanajiona wao wako salama??
Balozi wangu wa nyumba kumiKuwa muwazi tupo wengi mkuu
alafu ndio shida hapo sasa.R.I.P Baba mchungaji. Wachungaji wapo kwenye risque,maana wanakutana na watu wengi. Kila muumini anakwenda kumpa mkono mchungaji.
mambo mengi muda mchacheHuku mikoani misiba ni mingi kutoka mijini, kunani huko mjini?
Mh wengine Kvant hatunywiTusisahau kushusha na k-vant, inatekeleza virusi vya covid
Nipo mby nzovwe boss..Mama Konga kafariki Jana, hebu ulizia nini kimeipata familia yake siku hizi tano?