TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

TANZIA Pastor Abel Ogernes afariki dunia

Niko Soko Matola, Mtaa wa Wageni, kwenye maghorofa ya NHC yanatazamana na Kiwanja Ngoma. Wee uko sehemu gani nikufuate fastaaaaa?
Naona unataka kugeuza changamoto kuwa fursa, sawa bahalia
 
Huyo ni Malaya tu atakuwa alilala mbeya peak akaliwa na lusajo basi anajidai anaijua mbeya watu wanakufa sio utani mzazi wangu kaponea tundu LA sindano maswala hayo hayo mnayo sema changamoto za upumuaji
Lusajo Mwakoba anakaa Jacaranda, kasoma Azimio, kisha sekondari Meta. Ndiye anaendesha Mbeya Peak kwa sasa
 
Leo nimestushwa na habari hizi mbaya za kufariki huyu mtumishi mmoja wa waanzilishi wa huduma pale Amana Vijana Centre kwa kweli kasi ya vifo inatisha ndugu zangu.

View attachment 1693077

Kuna mijamaa ya chama fulani itadai kuwa kwake kufa ni sawa kwa sababu alishatumika sana. Kwamba kwake kuishi ilikuwa imekwisha tosha.

Eeh mola wote wasioyajua wala kuyatambua wayasemayo.

Akapumzike kwa amani moja wako huyu.
 
Tusiogope Watanzania wanaozaliwa ni wengi mno, kufuatia maboresho huduma za afya ,chanjo, elimu bure ,hamasa kuzaliana.... Shida ni kupoteza wapambanaji, japo kwa wazee above 80...( Life span 60...yrs) wapumzike kwa amani , kunapunguza garama kuwatunza nk.
Mzee tafuta hela unaytaka kuridhi
 
Back
Top Bottom