wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Hali ya Sasa inatisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana alipatwa na tatizo la kupumua lakini alijitibu vizuri tu changamoto ikawa kisukari kinapanda nadhani ili gonga 27.
Sasa akiwa anajifukiza tu na Kula malimao kumbe hku sukari inammaliza tu yye akijua ni ''pneumonia'' ndio inamsumbua.
Anyway nadhani ilikua siku yake Mungu amepanga. May his soul rest in eternal peace
Mie sukari imewahi kupanda hadi 32.3 yaani ilikuwa bado point saba mashine ishindwe kusoma lakini hapa nakuambia nimepona kabisaa na sina hiyo sukariInaonekana alipatwa na tatizo la kupumua lakini alijitibu vizuri tu changamoto ikawa kisukari kinapanda nadhani ili gonga 27.
Sasa akiwa anajifukiza tu na Kula malimao kumbe hku sukari inammaliza tu yye akijua ni ''pneumonia'' ndio inamsumbua.
Anyway nadhani ilikua siku yake Mungu amepanga. May his soul rest in eternal peace
Aiseee! uliwezaje kupona hilo tatizo? Au ni muujiza tu ulikupata?Mie sukari imewahi kupanda hadi 32.3 yaani ilikuwa bado point saba mashine ishindwe kusoma lakini hapa nakuambia nimepona kabisaa na sina hiyo sukari