Pastor Amin: Msaidizi wa kiboko wa wachawi anena mazito

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kwenye maisha usifurahie kila msaada unaopewa na mtu kwa nini kwa sababu hakuna kitu cha bure, kila msaada nyuma yake huwa na kusudi maalumu kwa anaesaidiwa sasa usifurahi kisa umepata kazi, mchumba, Promotion fulani au kitu chochote kwa kupewa na mtu No!

Tafuta kujua kwa nini anakusaidia huyo mtu! Amini ninachokwambia asilimia kubwa ya watu wanaopenda sanaaa kutoa misaada chunguza sio watu wema yaani wanatoa misaada hata nchi yenywe na akitoa habari zake utazisikia Hata Kama wewe ni kiziwi! Usisahau Mungu hufanikisha watu kupitia watu na Shetani pia akitaka kukupata anapitia watu pia!

Nini cha kufanya mtu akikusaidia anza kuchunguza kwanza usiendekeze njaa, tamaa au kukwepa fedheha kwa kukosa kazi au jambo fulani kuwa makini kudakwa ni Bure ila kutoka ni gharama kubwa sana niamini! Ningejua huja baada ya aibu, kuachwa, kudhalilishwa, kufungwa kimwili na Kiroho usiingie tu kichwa kichwa utajuta ndugu! Mwambie Yesu akuasaidie ujue mapema.
FB_IMG_1723882400228.jpg
 
View attachment 3072327
Bado hajasema, point yake alitaka kusema nini?
 
Hayo mazito aliyonena yako wapi?
au huu ni utangulizi tu?
 
Huyu na yule anayeuza viti zaidi ya 4000 wanaweza kuwa na uhusiano!!??
 
Mleta Mada Badilika Kumekucha Sasa Ujue
 
Mwamposa sijui nabii sijui kuhan musa sijui huyo wa buza wote matapeli km mwamposa ndo wamemng'ang'ania kweli anawapumbaza sana watu mie nshaingia mgogoro sana na sista na bimkubwa mamb haya hya ya mwamposa kasha brain wash watu sana mno mie yf nshamwambiaga sitak kusikia stori za udongo mara mafuta ni kuleteana kiini macho
 
Back
Top Bottom