USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kwenye maisha usifurahie kila msaada unaopewa na mtu kwa nini kwa sababu hakuna kitu cha bure, kila msaada nyuma yake huwa na kusudi maalumu kwa anaesaidiwa sasa usifurahi kisa umepata kazi, mchumba, Promotion fulani au kitu chochote kwa kupewa na mtu No!
Tafuta kujua kwa nini anakusaidia huyo mtu! Amini ninachokwambia asilimia kubwa ya watu wanaopenda sanaaa kutoa misaada chunguza sio watu wema yaani wanatoa misaada hata nchi yenywe na akitoa habari zake utazisikia Hata Kama wewe ni kiziwi! Usisahau Mungu hufanikisha watu kupitia watu na Shetani pia akitaka kukupata anapitia watu pia!
Nini cha kufanya mtu akikusaidia anza kuchunguza kwanza usiendekeze njaa, tamaa au kukwepa fedheha kwa kukosa kazi au jambo fulani kuwa makini kudakwa ni Bure ila kutoka ni gharama kubwa sana niamini! Ningejua huja baada ya aibu, kuachwa, kudhalilishwa, kufungwa kimwili na Kiroho usiingie tu kichwa kichwa utajuta ndugu! Mwambie Yesu akuasaidie ujue mapema.