Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Ndugu zangu katika imani kama hauna upako na kibali cha Mungu husithubutu utakufa maji.
Mwamba mbishi alikuwa anabishana hadi na redio.
Magu alimwambia unabisha na mimi ntatoa nyota zako zooote hizooo.
Alimnyoa Nyota Kweli KweliMagu alimwambia unabisha na mimi ntatoa nyota zako zooote hizooo.
Ndugu zangu katika imani kama hauna upako na kibali cha Mungu husithubutu utakufa maji.
Ule ulikuwa utoto na kutojiamini.Magu alimwambia unabisha na mimi ntatoa nyota zako zooote hizooo.
Alimtoa zote?? 🤔🤔Alimnyoa Nyota Kweli Kweli
Huenda ni yeye kweli 😀Mbona kama huyu ni content creator mkuu!