Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.
Matokeo yake kila mtu ni corona positive.
Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza wataalam wanachokisema hiki acha siasa kwani Pastor Chris yeye ni nani? ni mtaalam wa maabara?View attachment 1442220View attachment 1442221
Sent using Jamii Forums mobile app
Fazili acha mawazo ya kipumbavuUnawajua watu kama akina Tb Joshua , Chris’s wakisema “wise man “ wanamaanisha nini? Hawa ni watu wa “mtandao” wa giza na wakikuita wise man manake upo kwenye mtandao wao!
if corona its a scam subiria ikufikie ikufurahisheWakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.
Matokeo yake kila mtu ni corona positive.
Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana bado yuko sahihi kabisa.. Kwa tafsiri ya kiswahili ni wazee wa busara.. Naamini unajua maana yake kwenye hiliWise man hata dictionary ya kawaida umeshindwa angalia mpaka upotoshe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
nawaelezaga hivi watu lakini wanapinga.... iblv corona ipo but iko ki propaganda zaidi...ni mradi wa wajanja fulaniWakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.
Matokeo yake kila mtu ni corona positive.
Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea isikubamize wewe, ila imkabe mtu wako muhimu ili uelewe ukubwa wa tatizo. Dunia nzima inalia lakini wewe na huyo bosi wako mpenda mapambio mnaona ni utani tu!!Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.
Matokeo yake kila mtu ni corona positive.
Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sikubaliani nawe, yawezekana ugonjwa uliopo ni mafua makali kama yaliyotokea mwishoni mwa mwaka 2019. Kwa watu wenye ngozi nyeupe, hata mafua ya kawaida huwasumbua kwelikweli.Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.
Matokeo yake kila mtu ni corona positive.
Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nakuombea MUNGU akujalie busara na hekima ya kuthamini utu na heshima ya binadamu mwenzio, kwani hatujui siku wala saa tutakayohitaji msaada wake.Nakuombea isikubamize wewe, ila imkabe mtu wako muhimu ili uelewe ukubwa wa tatizo. Dunia nzima inalia lakini wewe na huyo bosi wako mpenda mapambio mnaona ni utani tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hakuna Corona? Kama haipo Watoto wetu warudi Shule na Vyuo.Duh... Mkuu, hata vifo vinavyosababishwa na huo ugonjwa ni vya kubumba?
Akili ndogo hawawezi kukuelewa... Watachukulia tafsiri ya moja kwa moja... Lakini hii ni ile kwa kiswahili tunaita wazee wa busaraUnawajua watu kama akina Tb Joshua , Chris’s wakisema “wise man “ wanamaanisha nini? Hawa ni watu wa “mtandao” wa giza na wakikuita wise man manake upo kwenye mtandao wao!
😅😅😅😅😅😅😅😅Magufuli ni Wiseman.... Wiseman ni MAMAJUSI
I didn’t know there many stupid people out there around the world.Sikiliza mwenyewe
Amemtaja kama 'a smart guy' na 'a wise president'
Amemaliza kwa kusema "is time to think"
View attachment 1441992
Mkuu kuna siku nitaandika kuhusu mtazamo wako juu ya watumishi wa Mungu.. kuna mahali hauko sahihi na inahitaji ufunuo kuweza kugundua.. nimesoma sana maandishi yako na mpaka leo sijajua huwa unapata wapi ujasiri wa kuhukumu watumishi.Hapana bado yuko sahihi kabisa.. Kwa tafsiri ya kiswahili ni wazee wa busara.. Naamini unajua maana yake kwenye hili
Jr[emoji769]
uyo pastor anatofauti ngani na nabii tito?
Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.
Matokeo yake kila mtu ni corona positive.
Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwajima wa NigeriaSikiliza mwenyewe
Amemtaja kama 'a smart guy' na 'a wise president'
Amemaliza kwa kusema "is time to think"
View attachment 1441992