griffin griffith
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 549
- 442
Sikiliza wataalam wanachokisema hiki acha siasa kwani Pastor Chris yeye ni nani? ni mtaalam wa maabara?View attachment 1442220View attachment 1442221
Sent using Jamii Forums mobile app
Scam iliyoua Malaki ya watu kote duniani na kusababisha shughuli za kiuchumi kusitishwa?Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasitutishe corona ni propaganda tu. Mara ghafla naingia zangu mafichoni chattle na natoa agizo abiria kwenye vyombo vya usafiri wawe level sit na lazima watu wavae barakoa. Na kama haitoshi naagiza mjifukize. Za kuambiwa changanya na zako.Wakenya wamegeuzwa biashara na WHO. Uhuru anapewa chake na shirika la kibeberu, anapima watu na vifaa vilivyojazwa virus feki.
Matokeo yake kila mtu ni corona positive.
Corona is a scam in the first place. Hakuna kitu kama corona. Ni upumbafu na ujinga mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo malaki ya watu wewe umeyaona au unalishwa lishwa tu habari?Scam iliyoua Malaki ya watu kote duniani
Zinafanana na yule anayesema corona ni propaganda mara paap kaingia mafichoni wapi kule!? Nimepasahu ghafla!
Kama unaamini kuna Mungu , je, umewahi kumuona? Kama huamini uwepo wa Mungu poa potezea.
Magufuli anaficha aibu ya maelfu ya watu walioambukizwa Corona kwa uzembe wake.Kuna watu hudhani kuwa wana akili kuliko Rais Magufuli, ila Magufuli ana akili nyingi kuliko vilaza wengi Tanzania!
Magufuli ali challenge ufanisi wa vipimo vya Covid-19, lakini vilaza wengi wakaibuka kumkosoa Kama vile alikuwa ame draw conclusion kwenye issue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzika watu usiku?? Subiri baba yako azikwe usiku kama mbwa ndio akili zitakaa sawa.Kusema ukweli Magufuli ameweza.
Kabla watu walikuwa hawafi kwa respiratory illnesses?Duh... Mkuu, hata vifo vinavyosababishwa na huo ugonjwa ni vya kubumba?
Jamaa hawaamini kabisa, nahisi nikikwazo katika kazi zake.Mkuu kuna siku nitaandika kuhusu mtazamo wako juu ya watumishi wa Mungu.. kuna mahali hauko sahihi na inahitaji ufunuo kuweza kugundua.. nimesoma sana maandishi yako na mpaka leo sijajua huwa unapata wapi ujasiri wa kuhukumu watumishi.
nawewe unachapa kazi kwa sababu anakuona au sababu inakulipa mshahara.Magufuli anaficha aibu ya maelfu ya watu walioambukizwa Corona kwa uzembe wake.
Kama yupo smart mbona kajificha Chato ila wenzie anatuambia chapeni kazi. Huyo ni muuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndogo hawawezi kukuelewa... Watachukulia tafsiri ya moja kwa moja... Lakini hii ni ile kwa kiswahili tunaita wazee wa busara
Jr
I second you 100%,sio wote wenye corona wana corona halisi, kuna mtu alinitxt anaota kivuli cha virus vya corona kinakimbiza wa watoto, akaanza kukemea ktk ndoto, so kuna magonjwa mengine adui anaweza jipenyeza humo humo ili aondoe watu.
Duh! una umri gani unawaza kitoto ivyo?
😃😃😃bangi mbaya sana
Wise man hata dictionary ya kawaida umeshindwa angalia mpaka upotoshe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watoto hii dunia hamuijui kabisa na mimi wala sishangai kwasababu najua kwanini hamuijui dunia hii kwani ina wenyewe. Asante Mshana Jr kwa kujitahidi kuwatoa hawa kwenye giza. Mtaelewa taratibu nini kinachoendelea, hata hapa Tz usipojua kuusoma upande wa pili wa shilingi basi unabaki kuwa kondoo wa mtu mwingine.
Sijasema kuzika watu usiku.Kuzika watu usiku?? Subiri baba yako azikwe usiku kama mbwa ndio akili zitakaa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu wakikwambia uwe SHOGA utakubali?Sikiliza wataalam wanachokisema hiki acha siasa kwani Pastor Chris yeye ni nani? ni mtaalam wa maabara?View attachment 1442220View attachment 1442221
Sent using Jamii Forums mobile app