Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
Hahahaaa, bbade hutaki newe version eeh?
His OS still works perfeclty no need for upgarde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa, bbade hutaki newe version eeh?
I disagree with you because if he was late before she would engage better man than the one she engaged with, She did this in secret and in rush.
Mda ukifika unikumbuke kwenye ufalme wako
His OS still works perfeclty no need for upgarde.
[emoji106]Halafu new versions nyingine za Oparating System zinakuaga na complictions kibao bora uliyoizoea na tena kama hivyo unasema bado inafanya kazi excellently, you better stick to it
My dear Astelia mbona wacheka...!! Kwani nimesema urongo...?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Urongo?.... Si wanawake saa zingine ni pasua kichwa ishini nasi kwa akiliMy dear Astelia mbona wacheka...!! Kwani nimesema urongo...?
ni kanzu na koti siyo jacketMchungaji Abel Ayinza Raia wa Uganda anayefanyia kazi zake nchini Marekani amejiua baada ya kuona picha za Mke wake aliyemuacha nyumbani mwezi mmoja uliopita nchini Uganda akiwa anachumbiwa na Mwanaume mwingine.
A Ugandan pastor based in the United States has reportedly committed suicide after photographs of his wife he left only a month ago in Uganda went viral in the state of Massachusetts as she was being engaged to another man.
According to Ugandans, Police in Watertown, a suburb of Boston City the capital of Massachusetts State are investigating possible suicide. Daily Monitor had not independently verified the reports.
Abel Ayinza was an adopted son of Pastor Samuel Mutyaba of New Life Christian International Church in Watertown, Massachusetts. Ayinza was also being reportedly being nurtured to become a pastor at the same church.
On Monday, Mr Mutyaba confirmed the death of Ayinza but said he could not blame the cause of action that led to Abel’s death on anyone.
“Until police furnishes us with full details, we cannot pin anyone. But all I can confirm is that Ayinza is dead and his body is in police hands,” Mr Mutyaba said.
He said that he is currently in Uganda and that Watertown police insisted that the body and an investigations report will be handed to him.
“I had delegated my fellow pastor to work with police and get details on how things happened but this was declined by authorities. They demanded I must be there in person and I will let you know when all is done,” Mr Mutyaba said.
The late Ayinza was reportedly a former guild presidential candidate at Kyambogo University 2013/2014. He left Uganda in June.
His wife was identified only as Juliet.
Photographs showed her wearing a red gomesi while the man wore a kanzu and jacket.
“He was so depressed when photographs of his wife went viral here. The wife was being engaged to another man and it is became quite difficult for him to bear,” Mr Simple Nsereko, a Ugandan living in Boston told Daily Monitor.
“He could not believe it when news arrived here in Boston. The woman was happily seated with another man and this was too much,” another Ugandan, Ms Eva Nabawanuka said.
“I personally knew him. From Uganda he stayed with me for some days and later joined the church (New Life Christian International Church). We are saddened,” Ms Aisha Namiiro, a former journalist with Radio One.
Source: Pastor commits suicide in US after wife marries new man
Ubora ni relative.Mtu mpaka anafikia hatua hiyo maana yake ni kuwa kaona hawezi kupata mwingine tena alie bora zaidi yake..
Sijawahi na sitarajii kupenda kisenge kiasi hicho but tuko tofauti maana kuna watu wanapigana kisa ushabiki wa michezo na siasa ko watu wa dizaini hii lazima wajiueNdio kupenda huko Mtani. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endeleen kupenda mtaisoma namba.mm kijana wangu akikua lazima nimueleze kuchukulia poa k na akiona inafaa aoe mwanamk zaidi ya mmja na ajue kuwa aishi na mwanamk mguu pandeMbona tunao jinyonga ni wanaume tuu.
Sasa huu ndo nauitaga ujinga.
Kwanza amejiua, ametenda dhambi ... So siku ya Kiama ni Moto kama kawaida.
Pili, Kifo chake hakiwezi kuzuia Demu aache kula bata na mshikaji wake , alafu ndo kwanza demu anaona kasaidika.
Nakwann uende mbali umuache mwanamke wako?? ivi nyinyi wanaume, Kisa cha Adamu na Hawa pale Bustanin hakikuwafunza??? .
Nasemaje, Wanaume majinga mtaendelea kufwaaa, sisi wajanja tunapeta tuuu.
Mimi hata mwanamke anifanyie jambo gani la makusudi ndo kwaaaanza sina Habari !! ..wapo , wapo wengi sana yann ufie penzi lisokua lako??? .
Sasa huu ndo nauitaga ujinga.
Kwanza amejiua, ametenda dhambi ... So siku ya Kiama ni Moto kama kawaida.
Pili, Kifo chake hakiwezi kuzuia Demu aache kula bata na mshikaji wake , alafu ndo kwanza demu anaona kasaidika.
Nakwann uende mbali umuache mwanamke wako?? ivi nyinyi wanaume, Kisa cha Adamu na Hawa pale Bustanin hakikuwafunza??? .
Nasemaje, Wanaume majinga mtaendelea kufwaaa, sisi wajanja tunapeta tuuu.
Mimi hata mwanamke anifanyie jambo gani la makusudi ndo kwaaaanza sina Habari !! ..wapo , wapo wengi sana yann ufie penzi lisokua lako??? .