Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
kamati ya harusi yake!Hizo pesa kapewa na nani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamati ya harusi yake!Hizo pesa kapewa na nani???
show-off hiz kweli zitamaliza vijana wengi Tz. mtu akiona hivi atatamani na yeye,afunge kumbe tunasahau hakuna cha bure duniani.naunga mkono hoja!Kama kweli kapewa, kile kitundu kidogo lazima akawape
Halijafutwa Capitalist hilo ndo jina langu mkuu
kamati ya harusi yake!
Kapewa na nani hizo hela?
Asiye na makuu umejuaje au kwa vile kaoa kwenu?hongera kijana mwenye hekima asiye na makuu mungu awe nawe uendelee kuifurahia ndoa
Ebu acha fix wewe ulikuwa kwenye kamati mpk useme hivyo?unaweza kuta baba mkwe chezea watu wa bukoba na umesikia mke jina Praxeda unategemea ubini utakuwa nani?kamati ya harusi yake!
Asiye na makuu umejuaje au kwa vile kaoa kwenu?
Hilo shela la bibi harusi na hizo zawadi sasa.......
Huoni hizo ni note moja moja wamebandika tu hapo
watu muwe japo mnafikiria kidogo;izo noti zimepangwa moja moja...column ina noti 20 mara 10,000 ni laki 2 while horizontal in 3 ukizidisha haizidi laki 6
umeonah eeeeh
wangu mwenyewe niliblow
tofautiiiii!!
Yani ni mshamba sijapata ona alafu eti ni mke wa myamba na umaarufu wake wote kamtia aibu sana,huo mda aliopoteza kushona angekodi gauni zuri na alivo angepata make up artist mzuri,weeee