Pastor Myamba afunga ndoa

Pastor Myamba afunga ndoa

Ilivyoandikwa, utadhani kweli.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kama kweli kapewa, kile kitundu kidogo lazima akawape
show-off hiz kweli zitamaliza vijana wengi Tz. mtu akiona hivi atatamani na yeye,afunge kumbe tunasahau hakuna cha bure duniani.naunga mkono hoja!
 
Hilo shela la bibi harusi na hizo zawadi sasa.......
 
Huoni hizo ni note moja moja wamebandika tu hapo
 
kamati ya harusi yake!
Ebu acha fix wewe ulikuwa kwenye kamati mpk useme hivyo?unaweza kuta baba mkwe chezea watu wa bukoba na umesikia mke jina Praxeda unategemea ubini utakuwa nani?
 
ebana dah!walitokaje na hii pesa...wazee wa AK47 walilala mno.
 
watu muwe japo mnafikiria kidogo;izo noti zimepangwa moja moja...column ina noti 20 mara 10,000 ni laki 2 while horizontal in 3 ukizidisha haizidi laki 6
 
watu muwe japo mnafikiria kidogo;izo noti zimepangwa moja moja...column ina noti 20 mara 10,000 ni laki 2 while horizontal in 3 ukizidisha haizidi laki 6

Bora umeona mie niliiona nikaanza fatilia chini nikashanga bando ya noti 100 itajikunja vipi ndo nikagundua ni note 1,1 zimebandikwa
 
umeonah eeeeh
wangu mwenyewe niliblow
tofautiiiii!!

Yani ni mshamba sijapata ona alafu eti ni mke wa myamba na umaarufu wake wote kamtia aibu sana,huo mda aliopoteza kushona angekodi gauni zuri na alivo angepata make up artist mzuri,weeee
 
Yani ni mshamba sijapata ona alafu eti ni mke wa myamba na umaarufu wake wote kamtia aibu sana,huo mda aliopoteza kushona angekodi gauni zuri na alivo angepata make up artist mzuri,weeee

mi nlishangaa jana kwa kweli
gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao)
bora hata angennua dira akalimodoa!
 
Back
Top Bottom