Pastor Myamba afunga ndoa

Nahisi hii ni ile staili sawa na ya kitchen party ya kuazima vyombo kwa ajili ya show off lolz..

Otherwise tunarekodi movie.
show-off mbaya jamani,kwani walishindwa kuweka bank na wakamletea bank receipt.ushamba ni gunia la misumari
 
Kaweke hela kwenye tololi lakini kapiga picha kwa kutumia simu ya mulika mwizi
 
Hivi hizo pesa hapo ndo zimetimia milioni 250 au!!? mbona naona kama noti moja moja ambazo huenda zikafika kama 570,000/-!...mweh!!
 
Kwaio na majambazi walikua hawana taarifa?? Duuhh aiseee...ushamba noma....!!ni Shida....kama wasemavyo ma- bontauni...!! Hhahahhahaha
 
ndo wanasema wame make history. duhu picha nazo zime wa chochora wametoka weusii
 
Kweli bongo msanii ni bongo msanii tu.! Sijui wamelaaniwa!!! Hizo hela kwenye kitoroli za nini?????? Stupid
 
Ni gauni tu linkutoa povu kiasi icho mkuu!! Au una jingine moyon?

Jingine moyoni kama nini?kwa hiyo kama ni baya nisiseme au?huyo myamba ni nani hasa hadi niwe na jingine moyoni juu yake?
 
mi nlishangaa jana kwa kweli
gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao)
bora hata angennua dira akalimodoa!

Ata ngevaa khanga, the basic point ni kwamba ndoa ishafungwa na maisha yanaendelea,makosa mengine yatasahaukika baada ya sku 2.
 
Jingine moyoni kama nini?kwa hiyo kama ni baya nisiseme au?huyo myamba ni nani hasa hadi niwe na jingine moyoni juu yake?

Gauni ni bya compared na lipi?,na kipi kilichopekea uone gauni ni baya?,Na pia ubaya wa gauni unaadhiri vip iyo ndoa iliyofungwa apo?.
 
Pesa za kibongo ni sawa na makaratasi tu. In a year hamna kitu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…