Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
mi nlishangaa jana kwa kweli
gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao)
bora hata angennua dira akalimodoa!
Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nlishangaa jana kwa kweli
gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao)
bora hata angennua dira akalimodoa!
Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie
show-off mbaya jamani,kwani walishindwa kuweka bank na wakamletea bank receipt.ushamba ni gunia la misumariNahisi hii ni ile staili sawa na ya kitchen party ya kuazima vyombo kwa ajili ya show off lolz..
Otherwise tunarekodi movie.
mi nlishangaa jana kwa kweli
gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao)
bora hata angennua dira akalimodoa!
Hizo pesa kapewa na nani???
Ni gauni tu linkutoa povu kiasi icho mkuu!! Au una jingine moyon?Ndio ukweli huo,atakayebisha ni mshamba mwenzie
Ni gauni tu linkutoa povu kiasi icho mkuu!! Au una jingine moyon?
mi nlishangaa jana kwa kweli
gauni bayaaaa(am sory kwa wapenzi wao)
bora hata angennua dira akalimodoa!
Jingine moyoni kama nini?kwa hiyo kama ni baya nisiseme au?huyo myamba ni nani hasa hadi niwe na jingine moyoni juu yake?
Kapewa na nani?Hizo ni milioni 25 au 250?
unaweza ukuakuta ameongozwa na mumewe kuchagua gauni au kama Fundi kamshonea vibaya kumkomeshaumeona eeh biharusi ni mzuri sana ila alikosa usimamizi