Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu.
Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic na kufikia hatua ya kutukana, kukejeli na kudharau wanaobeza muujiza wa gesi.
Kama huyu ndio pastor Tony wa miaka ya 2017, 18,19, 20 wa pale Kasanga Morogoro maeneo ya kokoto basi Mungu ni ajabu Leo kawa mkubwa na kuvimbiwa kiasi hicho basi kuna zaidi ya Mungu ambae ndiye anaemuabudu yeye.
Ooh yes ,ooh yes, ooh yes, huyo ndio tony bana akili kubwa bright ila amekosa maturity na hekima.
Kiburi baba yake pesa