matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu.
Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote atatetea hoja yake.
๐๐๐๐๐
View: https://vm.tiktok.com/ZMkHPdmAq/
My take.
Miaka ya mwanzoni mwa tisini karibu wachungaji wote walikuwa wanazungumzia mbinguni, uzuri wake na msisitizo wa waumini kuwa na vision ya maisha zaidi ya duniani.
Ghafla miaka ya elfu mbili mwanzoni wakahamia kwenye usomi. Kila mchungaji anajitutumua kuonekana anaMasters au PHD.
Miaka ya mwishoni mwa elfumbili na 10 wote wamehamia kwenye utafutaji. Msisitizo mkubwa umekuwa ni pesa. Wao wanashindana magari ya gharama, wanashindana kutafuta ukaribu na matajiri zaidi ili wajipatie pesa. Dharau kwa wasio nacho na kauli kebehi kwa w3nye vipato vya chini zimepamba moto. Makanisa yanakuwa kama mavuguvugu ya kuhamasisha uyafutaji na sio ukiroho.
Unadhani nini kimetufikisha hapa?