Pata Ajira na GPA yako

"rich dad, poor dad" by robert kiyosaki kilinifungua macho nikiwa first year, GPA sikuiwazia tena though nlijiwekea lengo la kupata 3.5. Toka nmemaliza chuo sijawahi ombwa gpa yangu, hata hizo certificate sijawahi zifuatilia, na ajira siitaji tena baada ya kudhalauriwa na mwajiri wangu wa kwanza!
 

lost account , wewe uko bongo au USA maana ,USA sio GPA tuu hata hicho cheti hawaangalii wala kuuliza, wao wanakufa na wewe kwenye interview, hawana habari na cheti chako wala kivuli chake
 
Last edited by a moderator:

Sasa hayo uliyosema yatakuwa captured vipi kwenye GPA? Au unataka GPA ziwe-qualified i.e. GPA 3.4 (difficult time)? Je, wale wanaopiga chabo au wazee wa kudesa inakuaje?
 
Tumieni muda wenu vizuri mkiwa huko vyuoni kwenu

Kichuki je unaweza kunieleza muda niutumieje?ikiwa
1.mwalimu complicator
2.nimepata matatizo ya kisaikologia karibia na mitihani.
3.claming capacity ndogo ila uelewa upo juu na mwalimu anataka ujibu kwa lugha na mtiririko wa kitini chake.
LABDA KWA KUKUSAIDIA NI KWAMBA HAPA TUNAMZUNGUMZIA MTU ANAEJITUMA ILI KUTOKANA NA MATATIZO FULAN FULAN MFANO HAPO JUU YAMEMFANYA ASHUKE GPA je huyu huoni kwamba ananyimwa haki yake ya kuingia kwenye interview ili aneshe ujuzi wake?
 
Sasa hayo uliyosema yatakuwa captured vipi kwenye GPA? Au unataka GPA ziwe-qualified i.e. GPA 3.4 (difficult time)? Je, wale wanaopiga chabo au wazee wa kudesa inakuaje?

samahani kidogo sijakuelewa unamaanisha na upo upande gani wa mada yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…