Pata Ajira na GPA yako

Pata Ajira na GPA yako

"rich dad, poor dad" by robert kiyosaki kilinifungua macho nikiwa first year, GPA sikuiwazia tena though nlijiwekea lengo la kupata 3.5. Toka nmemaliza chuo sijawahi ombwa gpa yangu, hata hizo certificate sijawahi zifuatilia, na ajira siitaji tena baada ya kudhalauriwa na mwajiri wangu wa kwanza!
 
"rich dad, poor dad" by robert kiyosaki kilinifungua macho nikiwa first year, GPA sikuiwazia tena though nlijiwekea lengo la kupata 3.5. Toka nmemaliza chuo sijawahi ombwa gpa yangu, hata hizo certificate sijawahi zifuatilia, na ajira siitaji tena baada ya kudhalauriwa na mwajiri wangu wa kwanza!

lost account , wewe uko bongo au USA maana ,USA sio GPA tuu hata hicho cheti hawaangalii wala kuuliza, wao wanakufa na wewe kwenye interview, hawana habari na cheti chako wala kivuli chake
 
Last edited by a moderator:
Hivi huu mtindo wa organisations(both private and government kuacept job applications kwa watu wa UPER SECOND na kuendelea unasaidia nin? Nauliza hivyo kwa kuwa kuna wanachuo ambao wanatumia mtindo wa kujuana na malecturers na wengine kudiliki hata kununua maksi kwa kutoa fedha na penzi ili apate level hiyo ya ufauru.My take ni kwamba kwa nin organisations zisitumie mtindo wa interview kushortlist waombaji kuliko kumbana mtu kwa GPA coz what i believe ni kuwa mwenye less than upper second GPA sio kwamba hafai kabisa.Sote tunajua sababu inayoweza kumpelekea mtu mwenye smart mind kupata GPA below ya uper second ikiwemo
1.Hira kati ya mwalimu na mwanafunzi may be mmegongana kumfuata kimapenzi msichana mmoja,kwa msichana kumkalia mwalimu wa kiume kufanya nae mapenz n.k
2.Kufundishwa na mwalimu ambae ni complicator (katika miaka yako 3 au 4 ya degree ya 1 ukikutana nao hawa walimu kama hawa wa5 wanatosha kukushusha GPA yako maana hawa walimu wana kitu kinachoitwa education jelous
3.kuna matatizo ya kifamilia,mapenzi ambayo yana nguvu sana haswa kwenye jamii ya kimaskin kama Tz
Nimejikuta naandika yote baada ya kumuona rafiki yangu ambaye ninamkubali sana kwa kuwa ana smart mind na yupo bench miaka 2 kila akijaribu kusogea kwenye interviwe anaambiwa "hiyo GPA yako ya 3.4 haifai" japokuwa kuna baadhi ya organisation hazitoi limit za GPA.
JAMANI ndugu wana jf mnalionaje hili tatizo coz linakatisha tamaa wahitimu wengi

Sasa hayo uliyosema yatakuwa captured vipi kwenye GPA? Au unataka GPA ziwe-qualified i.e. GPA 3.4 (difficult time)? Je, wale wanaopiga chabo au wazee wa kudesa inakuaje?
 
Tumieni muda wenu vizuri mkiwa huko vyuoni kwenu

Kichuki je unaweza kunieleza muda niutumieje?ikiwa
1.mwalimu complicator
2.nimepata matatizo ya kisaikologia karibia na mitihani.
3.claming capacity ndogo ila uelewa upo juu na mwalimu anataka ujibu kwa lugha na mtiririko wa kitini chake.
LABDA KWA KUKUSAIDIA NI KWAMBA HAPA TUNAMZUNGUMZIA MTU ANAEJITUMA ILI KUTOKANA NA MATATIZO FULAN FULAN MFANO HAPO JUU YAMEMFANYA ASHUKE GPA je huyu huoni kwamba ananyimwa haki yake ya kuingia kwenye interview ili aneshe ujuzi wake?
 
Sasa hayo uliyosema yatakuwa captured vipi kwenye GPA? Au unataka GPA ziwe-qualified i.e. GPA 3.4 (difficult time)? Je, wale wanaopiga chabo au wazee wa kudesa inakuaje?

samahani kidogo sijakuelewa unamaanisha na upo upande gani wa mada yetu?
 
Back
Top Bottom