Binafsi nina ukakasi juu ya hyo mbinu yako mtoa mada kutokana na sababu nyingi za kiutaalam..
Nitagusia v2 vichache...
+hili zoez utafanya ukiwa mwenyewe?
+naomba mechanism(ukizngatia maelezo yako) ya kupeleka electrical waves kwa spark plug kule ndan ya cylinder.
Ushawah kuwasha gar ikiwa ktk D mode? Strange!
Kwa gari za electrical programmed engines hyo njia haiwaki.. Gar iliyo na automatic Transmssn ni full computerized gearbox.. Inanpa ukakasi sana
hujagusia Awd,4wd,2wd,Rwd,umegusia fwd tu.. Huoni utasababisha matatzo kwa watu wengi? (if it real works)
kuna mdau ameongea point.. Je kuna utofaut gan wa kuisukuma kama kuwasha Manual car?
Naomba majibu nijifunze