PATA ELIMU: Battery imekufa ghafla?

PATA ELIMU: Battery imekufa ghafla?

Hii clip imetembea sana na kuzua mjadala , mleta mada uliwahi kujaribu wewe mwenyewe au ni mwendo wa kuforward msgs tu ?
 
Hii ya kupiga jack tairi linyanyuke ili kupata motion kunatofauti gani na kulisuma gari
Likiwa N then likishika kasi unarudisha D?
Tofauti ipo boss kwa kua hii gari tunayozungumzia ni Automatic hivyo ukifanya hiki unachokisema ni rahisi sana kubomoa na kuharibu gia box yako na pia usisahau gari hii haina Cluch na zaidi ni kua gia box ya automatic huamka na kufanya kazi injini inapowaka. Kwa gari manual ndio utaweka N then ukitaka kustua utaweka namba moja au mbili au reverse kutegemea na uelekeo.
 
Kuna gari ambazo ni All wheel drive kwa case ukinyanya tairi moja haitakusaidia kitu.., na kuna gari kama subaru yenye asymmetrical all wheel drive(AWD) hapa kama gari ikiwaka basi itakuletea ajari maana tairi linalokua juu kwa system hii huwa linastop kuzunguka nguvu ina hamia kwenye matairi yalio shika ardhi.

Kiufupi this cant work to all automatic cars..
 
Binafsi nina ukakasi juu ya hyo mbinu yako mtoa mada kutokana na sababu nyingi za kiutaalam..
Nitagusia v2 vichache...

+hili zoez utafanya ukiwa mwenyewe?

+naomba mechanism(ukizngatia maelezo yako) ya kupeleka electrical waves kwa spark plug kule ndan ya cylinder.

Ushawah kuwasha gar ikiwa ktk D mode? Strange!

Kwa gari za electrical programmed engines hyo njia haiwaki.. Gar iliyo na automatic Transmssn ni full computerized gearbox.. Inanpa ukakasi sana

hujagusia Awd,4wd,2wd,Rwd,umegusia fwd tu.. Huoni utasababisha matatzo kwa watu wengi? (if it real works)

kuna mdau ameongea point.. Je kuna utofaut gan wa kuisukuma kama kuwasha Manual car?

Naomba majibu nijifunze
 
Back
Top Bottom