PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Ngoja niandike kabisa hii mada Kwenye diary Yangu kwajili ya baadae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu zuri!CHOMEKA TAIRI KWANZA KWENYE SIMU YAKO...HALAFU URUDI HAPA TUKUELEKEZE
Swali zuri tunaomba jibu mtoa uziHii ya kupiga jack tairi linyanyuke ili kupata motion kunatofauti gani na kulisuma gari
Likiwa N then likishika kasi unarudisha D?
Utalifanya zoezi hili kwenye tairi moja wapo ya nyuma.Hiyo kwa gari inayotumia nguvu matairi ya mbele je gari ya inayotumia propela shaft au tairi za nyuma
Nimecheka kwa sauti hapa ofisini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daaa jf usipocheka ukapimwe mkojo.
Inatakiwa uweke switch on bossMkuu sasa funguo si itakua off hapo itawakaje mkuu
Ni kweli kabisa boss. Inatakiwa uwe umetega mawe kwenye matairi mengine ili kuepusha hatari inayoweza kutokeaIla kuwa makini gari inaweza fyatuka toka kwenye jerk
Tofauti ipo boss kwa kua hii gari tunayozungumzia ni Automatic hivyo ukifanya hiki unachokisema ni rahisi sana kubomoa na kuharibu gia box yako na pia usisahau gari hii haina Cluch na zaidi ni kua gia box ya automatic huamka na kufanya kazi injini inapowaka. Kwa gari manual ndio utaweka N then ukitaka kustua utaweka namba moja au mbili au reverse kutegemea na uelekeo.Hii ya kupiga jack tairi linyanyuke ili kupata motion kunatofauti gani na kulisuma gari
Likiwa N then likishika kasi unarudisha D?