Plot4Sale Pata eneo Chanika, Kigamboni, Kibaha, Goba, Bagamoyo

Balozi limited

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
989
Reaction score
2,565
Karibuni wateja tuwapatie maeneo kwaajiri ya ujenzi na uwekezaji, yamepimwa na huduma zote za kijamii zipo. Check me via 0620701780.

IMG-20220706-WA0004.jpg
 
Nihitaji hvyo vya kiluvya km 3...unaingia na barabara ipi mkuu ile ya kwenda kwa sumaye?
 
Sawa ndugu nimeona, tumewasiliana na karibu sana Katika miradi yetu utaifurahia tunaenda vzr utajionea na sio mbaya kuwaalika na Wengine utakapopata wasaa WA kuona projects.
Tajiri vp swala la hati mnatoa kwa mteja akishakamilisha Ununuzi

Vp mna document za umiliki ambazo mnaweza kumuona mteja kabla hajanunua
 
Mteja akishakamilisha ununuzi lile eneo tunalimark as SOLD, na kwa maeneo yote yaliondani ya kampuni inachukua muda kidg kwaajiri ya kuprocessing hati na huwa anakuja ofisini tukisha process as soon as possible tunampatia hati yake kutokana na michakato ya serikali ndio maana huwa inachukua muda kidg lkn kwa upande wetu huwa tunalishughulikia haraka kama kampuni, lkn kama ni mradi WA mtu binafsi tunakupatia hapohapo kwasababu huwa haipitii mchakato wa serikalini.
Lakini pia kwenye kuonesha miliki kama ununuzi ni mradi wa mtu binafsi kupitia kampuni tunakupigia picha na unaona lkn km ni mradi wa kampuni unafika ofisini, na kupewa maelekezo na kuoneshwa/kupelekwa eneo husika kwahiyo ofisi inadeal navyo. Karibu sana Ndugu.
 
Well noted & thank you ntawatembelea hapa Makumbusho nkipata nafasi
 
Back
Top Bottom