Pata GB 10 Kwa Sh 2000 Mwezi Mzima. Tigo

Ukute ni kwa ajili ya kukopa, speed yenyewe ya kinyonga
 
Hii mpk wakitumia msg kuwa umechaguliwa
 
Mimi nimechaguliwa lakn speed yao bora wangeacha tu
 
Hivi ni Mara moja au hizi 10 zikiisha waweza jiunga tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…