INAUZWA Pata godoro bora za aina mbalimbali

Molija

Senior Member
Joined
Jun 1, 2020
Posts
135
Reaction score
166
Habari wanajamvi...?
kampuni ya OCEANKISS LTD, inachukua fursa ya kuwakaribisha wateja wote muweze kujipatia magodoro bora kabisa kwa gharama nzuri yenye unafuu na hii ni kwa watu wote mlio ndani ya Tanzania na nnje vile vile kwa wale mnaohitaji kuwa maagent wa godoro zetu huu ni wakati wenu tunawakaribisha sana bila kusahau wale wa reje reja : kwa mawadiliano zaidi piga 0692449416

AINA YA GODORO TULIZO NAZO
1.Oceankiss
2.Okle
3.Relax
4.Fahari
5.Spring Mattress

1.OCEANKISS
hili ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density na 28density

2.OKLE
hili nalo ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density

3.RELAX
hili ni godoro lenye ubora wa kiwango cha pili yaani ujazo wa kiwango chake kiujazo na ubora denisity yake ni 20density

4.FAHARI
hili ni godoro la standard kabisa na ujazo wake kiubora ni 16density

5.SPRING MATTRESS
hizi ni zile godoro za mneso mneso

hivyo kwa wale wateja wanaopenda godoro za mneso yaani spring mattress zipo

VITU VYA ZIADA KUFAHAMU KWA MTEJA
kupitia majina ya brand za godoro zetu nilizo orodhesha hapo juu....godoro zimejigawa sehemu tano
1.WOC
2.WC
3.TX
4.VQ
5.MEDICAL MATTRESS

1.WOC
ni godoro lisilo na cover kwa lugha nyeoesi godoro lililo uchi

2.WC
hili ni godoro lenye cover

3.TX
hili ni godoro lenye upindo pembeni yaani linakuwa limenkshiwa kwa upimdo pembe zote za godoro

4.VQ
hil ni godoro lililozungukwa na upindo pembeni vile vile linakuwa limenkshiwa katikati kwa kuwekwa vyumba vyumba mfano wa kashata

5.MEDICAL MATTRESS
kwa wale wenye matatizo ya mgongo hili ndiyo linafaa na hutumika kama tiba ya mgongo wako..ni gumu pia zito


bila kusahau kwa wale mafundi sofa pia godoro zenu zipo

wote mnakaribishwa karibuni sana

Mawasiliano piga 0692449416



JamiiForums mobile app

PRICES
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1467877View attachment 1467878View attachment 1467879
View attachment 1467942View attachment 1467943View attachment 1467944
 
Duu bei ndogo sana kama unagawa bure🤣
 

Attachments

  • IMG_20200603_220500.jpg
    121.8 KB · Views: 35
  • IMG_20200603_220434.jpg
    121.6 KB · Views: 32
  • IMG_20200603_220356.jpg
    120.9 KB · Views: 28
  • IMG_20200603_220313.jpg
    94.4 KB · Views: 26
  • IMG_20200603_220244.jpg
    62.9 KB · Views: 25
  • IMG_20200603_220207.jpg
    86 KB · Views: 25
Magodoro ya kichina vitanda kutoka loliondo mkata tandale kilwa vingine vya zege kama huku arusha atutaki ujinga vitanda vya zege.weka bei uwezi lalia na mkeo.mbaya zaidi unatumia TECNO BILA UWOGA HIVI WEWE NI UNA MOYO GANI MPAKA UTUMIE TECNO KTK MATANGAZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibuni sana 0692449416
 

Attachments

  • FB_IMG_1591267962421.jpg
    11.3 KB · Views: 23
  • FB_IMG_1591267957121.jpg
    89 KB · Views: 21
  • FB_IMG_1591267950963.jpg
    92.2 KB · Views: 19
... Asante kwa taarifa ndugu. Nna swali kwako, je Hilo godoro la orthopedic lina density gani???
 
habari wakuu karibuni sana
 

Attachments

  • 2233566_tapatalk_1575667668193.jpeg
    70.9 KB · Views: 12
  • images.jpeg
    7.8 KB · Views: 15
Habari wakuu karibuni sana muweze kujipatia godoro bora kabusa 0692449416
 

Attachments

  • IMG_20200608_164343.jpg
    79.1 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…