INAUZWA Pata godoro bora za aina mbalimbali

INAUZWA Pata godoro bora za aina mbalimbali

Mkuu lipi bora kati ya godoro lenye kashata na lisilo na kashata?
5/6 inch 10 kwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni price 250,350

5/6 inch 10 mwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni na kudaliziwa vyumba vyumba katikati mfano wa kashata price 262,550/=
 
Habari wanajamvi...?
kampuni ya OCEANKISS LTD, inachukua fursa ya kuwakaribisha wateja wote muweze kujipatia magodoro bora kabisa kwa gharama nzuri yenye unafuu na hii ni kwa watu wote mlio ndani ya Tanzania na nnje vile vile kwa wale mnaohitaji kuwa maagent wa godoro zetu huu ni wakati wenu tunawakaribisha sana bila kusahau wale wa reje reja : kwa mawadiliano zaidi piga 0692449416

AINA YA GODORO TULIZO NAZO
1.Oceankiss
2.Okle
3.Relax
4.Fahari
5.Spring Mattress

1.OCEANKISS
hili ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density

2.OKLE
hili nalo ni godoro lenye high density yaani ujazo wa kiwango cha juu zaidi kiujazo na ubora na denisity yake ni 23density

3.RELAX
hili ni godoro lenye ubora wa kiwango cha pili yaani ujazo wa kiwango chake kiujazo na ubora denisity yake ni 20density

4.FAHARI
hili ni godoro la standard kabisa na ujazo wake kiubora ni 16density

5.SPRING MATTRESS
hizi ni zile godoro za mneso mneso

hivyo kwa wale wateja wanaopenda godoro za mneso yaani spring mattress zipo

VITU VYA ZIADA KUFAHAMU KWA MTEJA
kupitia majina ya brand za godoro zetu nilizo orodhesha hapo juu....godoro zimejigawa sehemu tano
1.WOC
2.WC
3.TX
4.VQ
5.MEDICAL MATTRESS

1.WOC
ni godoro lisilo na cover kwa lugha nyeoesi godoro lililo uchi

2.WC
hili ni godoro lenye cover

3.TX
hili ni godoro lenye upindo pembeni yaani linakuwa limenkshiwa kwa upimdo pembe zote za godoro

4.VQ
hil ni godoro lililozungukwa na upindo pembeni vile vile linakuwa limenkshiwa katikati kwa kuwekwa vyumba vyumba mfano wa kashata

5.MEDICAL MATTRESS
kwa wale wenye matatizo ya mgongo hili ndiyo linafaa na hutumika kama tiba ya mgongo wako..ni gumu pia zito

bila kusahau kwa wale mafundi sofa pia godoro zenu zipo

wote mnakaribishwa karibuni sana

Mawasiliano piga 0692449416

View attachment 1466972View attachment 1466973View attachment 1466974View attachment 1466976View attachment 1466977

JamiiForums mobile app

PRICES
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1467877View attachment 1467878View attachment 1467879
View attachment 1467942View attachment 1467943View attachment 1467944
Umetumia nguvu na muda wako mwingi kuandika UHARO tu, tangazo gani la biashara linaweza kuwa la kuvutia na kushawishi zaidi pasipo kuweka bei?
 
Umetumia nguvu na muda wako mwingi kuandika UHARO tu, tangazo gani la biashara linaweza kuwa la kuvutia na kushawishi zaidi pasipo kuweka bei?
mkuu upo seriously kweli,,, au macho huna mbona bei kaziweka hapojuu,,,,
 
Umetumia nguvu na muda wako mwingi kuandika UHARO tu, tangazo gani la biashara linaweza kuwa la kuvutia na kushawishi zaidi pasipo kuweka bei?
mkuu mbona bei zipo, pitia hii thread vizuri
 
Mkuu vipi kuhusu yale magodoro nafikiri si sample ya siponji wala spring?. Lile godoro linabonyea kidogo kwa muda huo huo mahala pale ulipolalia. Ni godoro linasweng sweng hivi kama maji hivi. Nchi zilizoendelea wanayatumia. Kama umecheck movie ya “DIED PLAY” wale wa zamani kama mimi “Comandoo kapensi”. Check lile godoro kwa makini,pale anaamka asubuhi kwenda kutupa takataka. Vipi aina hiyo yanaweza kupatikana mkuu?
 
design hiyo hakuna mkuu....

zipo za spring
 
Back
Top Bottom