INAUZWA Pata godoro bora za aina mbalimbali

INAUZWA Pata godoro bora za aina mbalimbali

5/6 inch 10 kwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni price 250,350

5/6 inch 10 mwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni na kudaliziwa vyumba vyumba katikati mfano wa kashata price 262,550/=
Unafanya delivery bila mimi kuja??,
 
Unafanya delivery bila mimi kuja??,
no mkuu free delivery huwa inafanyika kwa wale wateja wa jumla wanaochukua mzigo kuanzia million moja na kuendelea ila kama una dereva unayejuana naye unaweza kumtuma direct akaja kiwandani na kuchukua godoro

0692449416

NOTE:Free delivery hufanyika ndani ya dar pekee kwa mteja anayenunua godoro kuanzia 1m na kuendelea..
 
Mkuu mimi sijasema free delivery.
 
Habari...?

karibuni sana mjipatie magodoro bora pia tuna huduma ya usafirishaji magodoro bure ila ni kwa wale wateja watakaonunua mzigo wa kuanzia million moja na kuendelea, huduma hii hupatikana kwa ndan ya dar es salaam pekee

karibuni
1592721824304.jpg
 
Ni cm 183. Kwa sababu futi 6 ni cm 180. Chenyewe kimezidi hizo 3. Au pima hapo futi 6 inakuwa na cm ngapi?
 
Ni cm 183. Kwa sababu futi 6 ni cm 180. Chenyewe kimezidi hizo 3. Au pima hapo futi 6 inakuwa na cm ngapi?
spring mattress ya size uliyoihitaji 12 inchi price 730,250/=

8 inch price 500,450/=
10 inch price 600,700/=

ya kawaida
8 inch price 350,900/=
10 inch price 450,040/=
.12 inch price 500,250/=
 
jipatie godoro zenye ubora kwa size mbali mbali directly kutoka kiwandani kwa gharama nafuu...

karibuni sana
 
Attachments

  • IMG_159194537392F.jpg
    IMG_159194537392F.jpg
    89.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom