Unafanya delivery bila mimi kuja??,5/6 inch 10 kwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni price 250,350
5/6 inch 10 mwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni na kudaliziwa vyumba vyumba katikati mfano wa kashata price 262,550/=
no mkuu free delivery huwa inafanyika kwa wale wateja wa jumla wanaochukua mzigo kuanzia million moja na kuendelea ila kama una dereva unayejuana naye unaweza kumtuma direct akaja kiwandani na kuchukua godoroUnafanya delivery bila mimi kuja??,
hilo ni spring ambalo huwa tunaanzia inchi nane bei ni 319,650Ili bei gani 5 kwa 6View attachment 1484279
Mkuu mimi sijasema free delivery.no mkuu free delivery huwa inafanyika kwa wale wateja wa jumla wanaochukua mzigo kuanzia million moja na kuendelea ila kama una dereva unayejuana naye unaweza kumtuma direct akaja kiwandani na kuchukua godoro
0692449416
NOTE:Free delivery hufanyika ndani ya dar pekee kwa mteja anayenunua godoro kuanzia 1m na kuendelea..
Inakuwa bei ganiMkuu pia special oda ya kutengeneza godoro hilo inawezekana
spring mattress ya size uliyoihitaji 12 inchi price 730,250/=Ni cm 183. Kwa sababu futi 6 ni cm 180. Chenyewe kimezidi hizo 3. Au pima hapo futi 6 inakuwa na cm ngapi?