INAUZWA Pata godoro bora za aina mbalimbali

godoro za bei rahisi shilingi ngapi?
 
Mkuu lipi bora kati ya godoro lenye kashata na lisilo na kashata?
5/6 inch 10 kwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni price 250,350

5/6 inch 10 mwa yenye upindo uliodaliziwa pembeni na kudaliziwa vyumba vyumba katikati mfano wa kashata price 262,550/=
 
Mkuu lipi bora kati ya godoro lenye kashata na lisilo na kashata?
binafsi mi huwa nalikubali kashata ila yote yako vizuri,, hii kampuni ina magodoro mazuri naikubali
 
Umetumia nguvu na muda wako mwingi kuandika UHARO tu, tangazo gani la biashara linaweza kuwa la kuvutia na kushawishi zaidi pasipo kuweka bei?
 
Umetumia nguvu na muda wako mwingi kuandika UHARO tu, tangazo gani la biashara linaweza kuwa la kuvutia na kushawishi zaidi pasipo kuweka bei?
mkuu upo seriously kweli,,, au macho huna mbona bei kaziweka hapojuu,,,,
 
Umetumia nguvu na muda wako mwingi kuandika UHARO tu, tangazo gani la biashara linaweza kuwa la kuvutia na kushawishi zaidi pasipo kuweka bei?
mkuu mbona bei zipo, pitia hii thread vizuri
 
Mkuu vipi kuhusu yale magodoro nafikiri si sample ya siponji wala spring?. Lile godoro linabonyea kidogo kwa muda huo huo mahala pale ulipolalia. Ni godoro linasweng sweng hivi kama maji hivi. Nchi zilizoendelea wanayatumia. Kama umecheck movie ya “DIED PLAY” wale wa zamani kama mimi “Comandoo kapensi”. Check lile godoro kwa makini,pale anaamka asubuhi kwenda kutupa takataka. Vipi aina hiyo yanaweza kupatikana mkuu?
 
design hiyo hakuna mkuu....

zipo za spring
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…