Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hii ni thread maalum ya kukuunganisha na mastory mbalimbali ya zamani, nyingi zikiwa ni zile tulisimuliwa na Deborah Mwenda akisaidiwa na Eddah Sanga kwenye kipindi cha Mama na mwana, Radio Tanzania Dar es Salaam.
Zifuatazo ni hadithi ntakazozileta wiki hii, wiki ya uhasishaji wa usomaji wa vitabu duniani.
Najua kupitia hadithi hizi tutaunganishwa wapenzi wa majukwaa mbalimbali ya JamiiForums.
1. SAFARI SABA ZA SINBAD
Safari 7 za Sinbad
2. ALADIN NA TAA YA AJABU
www.jamiiforums.com
3. ALIBABA NA WEZI 40
www.jamiiforums.com
4. MASIMULIZI KAMILIFU YA ALFU LELA U LELA AU SIKU ELFU MOJA NA MOJA
www.jamiiforums.com
5. MASHIMO YA MFALME SULEIMAN
www.jamiiforums.com
6. ADILI NA NDUGUZE:- RIWAYA YA SHAABAN ROBERT
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Zifuatazo ni hadithi ntakazozileta wiki hii, wiki ya uhasishaji wa usomaji wa vitabu duniani.
Najua kupitia hadithi hizi tutaunganishwa wapenzi wa majukwaa mbalimbali ya JamiiForums.
1. SAFARI SABA ZA SINBAD
Safari 7 za Sinbad
2. ALADIN NA TAA YA AJABU
Aladin na taa ya ajabu
ALADDIN NA TAA YA AJABU --- SEHEMU YA KWANZA (1) ALADDIN NA TAA YA AJABU Hapo zamani kabisa, aliishi mshonaji masikini, ambaye alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Aladdin, ambaye alikuwa ni mzembe na mvivu kabisa, asiyependa kufanya kazi yoyote...
3. ALIBABA NA WEZI 40
Alibaba na wezi 40
ALIBABA NA WEZI 40 SURA YA KWANZA: HAZINA KATIKA PANGO Hapo zamani za kale katika mji wa persia waliishi ndugu wawili mmoja aliitwa Kasim na mwengine aliitwa Alibaba, ndugu hawa wawili walikuwa na baba yao ambae alikuwa na uwezo wa kifedha kidogo ambae alipokufa waligawana mali zake mgao sawa...
4. MASIMULIZI KAMILIFU YA ALFU LELA U LELA AU SIKU ELFU MOJA NA MOJA
Masimulizi kamilifu ya alfu lela u lela au siku elfu moja na moja
KITABU CHA KWANZA. Tafadhali pakua faili lililoambatanishwa kwenye uzi huu likiwa kwenye mfumo wa PDF
5. MASHIMO YA MFALME SULEIMAN
Mashimo ya Mfalme Suleiman
UTANGULIZI Hadithi hii ilipigwa chapa kwa lugha ya Kiingereza katika mwaka 1885. Katika mwaka 1905 Bwana H. Rider Haggard aliandika maneno haya: 'Sasa katika mwaka 1905 naweza kuzidisha maneno yangu kwa kusema ya kuwa nimefurahishwa sana kuona hadithi yangu inadumu kuwapendeza wasomaji wengi...
6. ADILI NA NDUGUZE:- RIWAYA YA SHAABAN ROBERT
Adili na Nduguze:- Shaaban Robert
MTUNZI: SHAABAN ROBERT. WACHAPISHAJI : Tanzania Publishing House. Dar es Salaam. SURA YA 1 Mfalme Rai Rai, mfalme wa Ughaibu , alikuwa mfalme namna ya peke yake duniani. Alikuwa na tabia iliyohitilafiana kabisa na tabia za watu wengine wa zamani zake. Tabia yake ilijigawa katika theluthi tatu...
7.HEKAYA ZA ABUNUWASI
Hekaya za Abunuwasi
HEKAYA ZA ABUNUWASI KISA CHA ABUNUWASI NA MFALME SIKU moja alfajiri, wakati wananchi wa mji wenye wakazi wengi walipokwenda kuchota maji mtoni, walishangazwa kuuona mkono wa mtu ukiwa katikati ya mto. Mkono huo wa ajabu ulikuwa umenyoosha vidole viwili juu, kuonyesha alama ya mbili. Wananchi...