Pata hadithi mbalimbali za zamani hapa

Kuna mtu alikuwa anaitafuta hii humuhumu JF
 
Safi sana
 
Mzee bujibuji shukrani sana kwa hizi mambo za kale, hakika wewe sio sharobaro wala bishoo wewe ni simba.
 
Ua nakumbuka mbali sana napokutna na hadithi za kitambo icho japo hizi za apo juu sikuzisoma mwaka flani ndani ya 2005 kurudi nyuma nilikuta kitabu kimeandikwa watoto wa mama ntilie kutoka kabatini na palikua na ma brother wapo secondary mi nikakiona na kuanza kusoma sikujua kama kinatumika shuleni nilijua hadithi tu
aisee nilitumia siku nzima kukisoma nika kimaliza nilikipenda sana Mara paaa form three hii hapa nakutana nacho tena na kukisoma tena hua napata feelings sana nikisoma zile hadithi naisi ndio kama nipo maeneo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…