MabatiBeiNafuu
Member
- Aug 24, 2021
- 72
- 65
Hapana Boss.Una yale mabati ya kuwekea kwenye madirisha yale ambayo yameshapinda tayari?
Asante sana mkuu.Nakutakia biashara njema
Nalog off
Sawa mkuu. Tutafanya hivyo.Muwe mnawa train KWA vishort course hao mafundi wa kupaua,sometimes wanawaharibia biashara KWA kupaua nyumba KWA bati hizohizo zenu,Hamu unaisha kabisaaaa ya nyumba KWA muonekano mbovu wa bati
Kampuni ni Bati Bomba.Shida yako ni moja tu, hujataja kampuni gani.
Bati moja mita tatuHizi bei ni kwa bati moja zima au kwa mita?
Yapo mkuu. Bei 25000 /=Yale ya wanayopauliag mashule mita 3 Gage 30mnayo?! Bei?!
Yapo mkuu.Bei gani yale ya zamani!! Kwa jina jingine yale ya kupaulia shule
Yapo mkuu.
Gauge 28 Bei 31,000/=Bei gani?