beauty in me
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 161
- 134
- Thread starter
- #21
Yes hiyo price inakua tax includedHiyo bei taxes included au inakuwaje?
Yes hiyo price inakua tax includedHiyo bei taxes included au inakuwaje?
Tunapatikana mikoa yoteMko wapi na namba za simu ziko wapi
Mbona kama povu hiviPremio ya mwaka 2004 mil 17? Aisee.
Kwa ushauri wa bure mtu usijihangaishe na hao watu, achaneni nao.
Bei kubwa sana. Gari ya mil 12 wao 17? Kama unaweza jikusanye uagize yako, achana na hao watu
Kwenye kuja kunadi mikopo mnakuja na
Hahahaha hahaha watu mna mashytKwani we ulipochumbiwa walikuja kikauzu?
Kwa hizo bei bora nikanunue gar used mkononi kwa mtu.
Swift 5.5m
Probox 6-7m
The list goes on
Kumbuka huu ni mkopo kwa hiyo lazima tupige na mahesabu ya ribaBei za Chugga , alafu jamaa hajui JpM rais anafikiri kikwete.
Hizo bei unaenda japana na unakuja na gari yako na chenji juu
kweli kasbisa bei zimekaa kiusanii usanii sana ni bora ujichangechange tuPremio ya mwaka 2004 mil 17? Aisee.
Kwa ushauri wa bure mtu usijihangaishe na hao watu, achaneni nao.
Bei kubwa sana. Gari ya mil 12 wao 17? Kama unaweza jikusanye uagize yako, achana na hao watu
Mbona tumekuomba namba PM umeuchuna tu, unafanya biashara kweli wewe au unapoteza muda wa watu tu hapa kujadili hewa? Isitoshe ulitakiwa kama upo serious na biashara yako uweke namba za simu kwenye bandiko lako hapo na sio mpaka MTU akufuate PM kama vile unatoa msaada na sio biashara. Hebu funguka acha mbwembweKumbuka huu ni mkopo kwa hiyo lazima tupige na mahesabu ya riba
Kila mwezi utapaswa ulipe zaidi ya laki 416666.6666666667 kwa gari yenye thamani ya M 10.Lipia 50% ya gari unayotaka kisha lipia kiasi kilichobaki ndani ya miezi 24 huku ukiendelea kutumia gari lako.
Below ni check list yetu
View attachment 706634View attachment 706635
Kwa maelezo zaidi Pm