Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

Wekeni na options zingine za mkopo hasa kwa gari za biashara, maana 50% nayo utata
 
Wekeni na options zingine za mkopo hasa kwa gari za biashara, maana 50% nayo utata
 
Wekeni na options zingine za mkopo hasa kwa gari za biashara, maana 50% nayo utata
 
Naona mtawapiga sana mangiri yasiyojua bei za magar,,
 
Simtetei mleta tangazo hasa hasa kuhusu bei. Ikumbukwe huu ni mkopo, wamewekeza pesa zao amvazo inabidi zikae kwa miaka miwili zikirudi kidogokidogo.

Hata benki ukienda kuchukua mkopo kuna riba na makato ya insurance na mambo mengine. Hii yote ni kuwasaidia wenye uwezo kiasi cha kumudu kulipa kidogokidogo lakini hawana pesa ya mkupuo.

Kwa mwenye pesa zake mkononi anaagiza japan au anaingia showroom kujichagulia kitu apendacho kwa bei rafiki.

beauty in me ungeweka mawasiluano, hilo limelalamikiwa sana.

NB hiyo Volvo ni aina gani na bei yake ngapi? Kama bado ipo lakini.

Shukrani
 
Nahisi bei za Noah old model mmekosea... Hiyo bei ya 14.5m iko chini ya bei ya soko, sembuse kwa mkopo ?
 
Back
Top Bottom