Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

nsemwae

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
175
Reaction score
53
Kutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao

Karibuni
Kama ishu yako ni nzito kama short za motherboard na vinginevyo call or whatsapp 0752367766
 
Kutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao

Karibuni
Mkuu,mimi computer yangu inazimazima sana kwa siku inaweza kujizima kama mara sita hivi mpaka nashindwa kufanya kazi kwenye hiyo computer,
Labda tatizo linaweza kuwa ni nini ?
 
Asante kwa Uzi Huu ni matarajio yangu utasaidia, Mkuu mimi nina PC, HP ina Tatizo la Kuganda! Unaweza Kuwa Unafanya Jambo Fulani Ila Ghafla Inaganda na Baada Ya Sekunde kama 15 Inajizima, Mara Nyingine Unaweza Kuwa Unacopy Files ila Haichukui Muda Inaganda Tu Ghafla Na Kuzima! Haitoi Mlio wowote ikiganda, Ni tatizo Gani Hili?
 
Tatizo la pc kujizima kama imewaka vizuri na kukaa kwa muda kidogo mostly linatokana na pc kuwa overheated sasa hii hutokana na
1. pc kuwa na vumbi jingi kwenye feni na sink especially katikati ya feni na heat sink hivyo pc kushindwa kuondoa joto ndani
2. feni kutofanya kazi kabisa
3. heat sink compound kuisha wenye pc hii ni mara chache
Unaweza kufungua pc yako na kufuta vumbi lote ndani ya pc maeneo hayo kisha rudishia kama kawaida, kama feni haizungui kabisa hapo utahitaji utaalam zaidi...
kufungua pc just google how to disassemble.... hapo mbele uta-type model ya pc yako
 
je ikizima taa zinazoonesha kuwa imewaka huzima pia na je haiji-restart tena?
 
Naomba kwa uzoefu wako uniambie ninunue computer aina gani, nataka desktop kwa ajili ya ku burn cd kudownload nyimbo na muvies, kifupi matumizi ya intetnet ndo yanatazamiwa kuwa makubwa zaidi, ukitaja na bei itakua vyema. Thanks
 
Mkuu computer hp ilikuw natumia vizuri nikaizima, alafu kuja kuiwasha tena haiwaki. Lakini nikiweka waya wa power inaonyesha inaingiza moto vizuri. Je, shida ni nini?
 
Tatizo la pc kujizima kama imewaka vizuri na kukaa kwa muda kidogo mostly linatokana na pc kuwa overheated sasa hii hutokana na
1. pc kuwa na vumbi jingi kwenye feni na sink especially katikati ya feni na heat sink hivyo pc kushindwa kuondoa joto ndani
2. feni kutofanya kazi kabisa
3. heat sink compound kuisha wenye pc hii ni mara chache
Unaweza kufungua pc yako na kufuta vumbi lote ndani ya pc maeneo hayo kisha rudishia kama kawaida, kama feni haizungui kabisa hapo utahitaji utaalam zaidi...
kufungua pc just google how to disassemble.... hapo mbele uta-type model ya pc yako
Nashukuru sana mkuu,ngoja niifungue niangalie alafu nitakupa mrejesho
 
Tatizo la pc kujizima kama imewaka vizuri na kukaa kwa muda kidogo mostly linatokana na pc kuwa overheated sasa hii hutokana na
1. pc kuwa na vumbi jingi kwenye feni na sink especially katikati ya feni na heat sink hivyo pc kushindwa kuondoa joto ndani
2. feni kutofanya kazi kabisa
3. heat sink compound kuisha wenye pc hii ni mara chache
Unaweza kufungua pc yako na kufuta vumbi lote ndani ya pc maeneo hayo kisha rudishia kama kawaida, kama feni haizungui kabisa hapo utahitaji utaalam zaidi...
kufungua pc just google how to disassemble.... hapo mbele uta-type model ya pc yako
Me yangu yaaa n nkiwasha tuu inachuku sekunde 5 inajizima yaan logo ya dell kabla haijamaliza kuload inajizima nikiwasha tena inaishia hapo hapo ilaa nkii zma chmoa betrry ikiiwasha mara ya kwanza inaa ama sekunde 15 inajizima alaf inarud kawaida kwa kwa sekunde 5 tuu inajizima tatizo linaweza kuwa nn mkuu feni ipo vzur
 
Naomba kwa uzoefu wako uniambie ninunue computer aina gani, nataka desktop kwa ajili ya ku burn cd kudownload nyimbo na muvies, kifupi matumizi ya intetnet ndo yanatazamiwa kuwa makubwa zaidi, ukitaja na bei itakua vyema. Thanks
Mkuu kwa vitu ulivyotaja unahitaji computer ya kawaida ambayo itakuwezesha kudownload kwa speed nzuri na uhakikisha mlango wake wa cd ni dvd rewritable na sio cd rewritable pekee bajeti hapo wa used ambazo ndo common haizidi 300000 wa 500HARDDISK na 2-4gb Ram
 
Thanks mkuu
 
Mkuu computer hp ilikuw natumia vizuri nikaizima, alafu kuja kuiwasha tena haiwaki. Lakini nikiweka waya wa power inaonyesha inaingiza moto vizuri. Je, shida ni nini?
toa adapter yaani huo waya wa chaja toa na betri isha bofya button ya kuwasha wa sekunde 30 vyote hivyo vikiwa havipo halafu weka adapter pekee yake kisha washa
 
Habari. Mkuu laptop yangu ghafla tu asubuhi hii imekataa kuingiza moto. Nini tatizo nini?
 
Me yangu yaaa n nkiwasha tuu inachuku sekunde 5 inajizima yaan logo ya dell kabla haijamaliza kuload inajizima nikiwasha tena inaishia hapo hapo ilaa nkii zma chmoa betrry ikiiwasha mara ya kwanza inaa ama sekunde 15 inajizima alaf inarud kawaida kwa kwa sekunde 5 tuu inajizima tatizo linaweza kuwa nn mkuu feni ipo vzur
Pc yako ni aina gani
kabla hujajibu washa pc yako ikiwa haina betri litoe kabisa
 
Back
Top Bottom