Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

Nina Dell ina window xp...kinachoniboa, swez install chochote...wanasema niingize administrator passwd na mm pc nilinunua kwa mtu. Nawezaje kuondoa hii Kitu? Maana Sioni raha ya pc
 
Na mlango nikiwrka Dvd inachange kwenda audio CD then haiplay
 
Hongera kwa msaada mkuu..
Natumai tatizo la PC yangu litapata suluhisho hapa..
Pc yangu mkuu button za keyboard hazifanyi kazi kabisa zinazofanya kazi hazizidi hata 3. tatizo ni nini mkuu..?
hapo badili keyboard tu ndivyo zinavyoharibika hizo
 
Nina Dell ina window xp...kinachoniboa, swez install chochote...wanasema niingize administrator passwd na mm pc nilinunua kwa mtu. Nawezaje kuondoa hii Kitu? Maana Sioni raha ya pc
Ondoa hiyo window weka nyingine password itaondoka japo ipo option ya software uondoa hiyo password laini nashauri wa hiyo xp itoe hata hivyo xp kwa sasa si nzuri wani haina support ya microsoft
 
Huenda pc yako ikawa haina au ina defective Wireless/ Bluetooth card/ adopter. Maana kma icho kifaa kipo au kizima ikitakiwa ukiswitch on iyo switch basi Pilot indicator iwe on. So tafuta mtaalamu afanye troubleshooting

Na kuhusu ku install arch CAD, check requirements za Arch CAD eg. Inataka machine minimum iwe na processor yenye speed ipi? Iwe na RAM kiasi gani?? Iwe na GPU yenye Memory Kiasi gani Pia kioo kiwe na resolution ipi??? Pia Uwe ume install OS gani??? Na pia kwenye Arch CAD na AUTo CaD ni msingi kuzingatia Microsoft Dot NET Framework na unatakiwe iwe ni .NET Framework version ipi????


Ukiweza kujibu hayo maswali lazima utapata ufumbuzi kwa nn Arch CAD haiingii kwenye PC yako
Soooooo check requirements compatibility kati ya PC yako na Program yako

Regards....!
safi
 
Nipo ruvuma natumia 8 lakini nataka kujaribu 8.1
Poa. Ila 8.1 ipo km utapata 8.1.1 (8.1 update 1 install iko poa zaid)
Baada ya kuinstall window 8.1 tafuta driver pack solution offline /online installer hii itainstall driver zote ikiwemo wifi na bluetooth.
Au Driver talent.
Km utapata window 10 redstone hii utaweza kuinstall window store app nyingi ikiwemo facebook, telegram, instagram, instagram downloader, LinkedIn,twitter n.k kasoro whatsapp ndiyo haipo
 
Mkuu hongera sanaa kwa hatua ulofikia ya kuon kuna umuhimu wa kutumi elimu ulonayo ya masuala ya computer kusaidia wenye matatizo.

Naomba msaada wako me natumia hp 250 g5 w10...
Nili update windows 10 baada ya hapo pc yangu imekuwa na ttzo la sound
Inaweza ikawa inaplay... Then suddenly sound inaanza kuscratch na badae inakata kabsa... Matokeo yake kama ni nyimbo inaplay bila sauti... Mpaka ni restart ndo tena inAtoa sauti...
tumia driverpack kuinstall driver za sound kwenye pc yako
 
Desktop ya Dell in a brink taa ya orange badala ya kijani niki switch on na monitor haiwaki kabisa.
Hapo yaweza kuwa processor yako ina shida au mfumo wake au power supply au mfumo wa power ndani ya motherboard hiyo mostly ni hardware ishu mkuu jaribu kutoa na kurudisha processor
 
Ondoa hiyo window weka nyingine password itaondoka japo ipo option ya software uondoa hiyo password laini nashauri wa hiyo xp itoe hata hivyo xp kwa sasa si nzuri wani haina support ya microsoft
Asante mkuu
 
mkuu computer yangu ina tatizo la kupenda site za porn kila niki fungua JF lazima inionyeshe dem mwenye SNURA
samahani i don't mean to offend laini hizo site mara nyingi huja kutokana na pc yako kutumiwa kuangalia mambo hayo hivyo kuingiza virus fulani angalia watumiaji wa pc yako wasiingie huko na virus hao waiingia kwenye simu ndo balaa lakini usihofu ingiza widows nyingine weka antivirus pia au kama hutai kuweka windows install browser upya kisha tumia kaspersky antivirus

japo kwa sharing sites ambazo hazina security ni kawaida kabisa hutoea kwa yoyote laini jf sidhani
 
Kutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao

Karibuni
Mimi nahitaji keyboard ya HP 650.HALAFu imezima ghafla
 
Mkuu pc yangu ni desktop nimewasha mara ya kwanza ikawaka taa nyekundu katika cpu na ikawa toa mlio ka alert , nkatoa power supply na cmos betry na nilivyo washa huo mlio haukurudi na haikuwaka had ss inaishia kuzungusha feni tu shida ni nn hapa
 
Tatizo la computa yangu dell (latitude/E6400 inagoma kutumia bluetooth, na WiFi ata nikiinstall driver tofauti
NB
ata taa (indicator ) zake haziwaki,
pia inakataa kuinsataal baadhi ya program kama archcard
weka wireless na bluetooth card hizo ndo zinasupport hayo mambo lakini wa archcard nipe specifications za pc yako nijue nikushauri vipi
 
Mkuu pc yangu ni desktop nimewasha mara ya kwanza ikawaka taa nyekundu katika cpu na ikawa toa mlio ka alert , nkatoa power supply na cmos betry na nilivyo washa huo mlio haukurudi na haikuwaka had ss inaishia kuzungusha feni tu shida ni nn hapa
kama haiwaki taa yoyote hapo ni ngumu kuelewa tatizo itakubidi utafute mtaalamu aliye karibu nawe
 
Back
Top Bottom