Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

safi
Poa. Ila 8.1 ipo km utapata 8.1.1 (8.1 update 1 install iko poa zaid)
Baada ya kuinstall window 8.1 tafuta driver pack solution offline /online installer hii itainstall driver zote ikiwemo wifi na bluetooth.
Au Driver talent.
Km utapata window 10 redstone hii utaweza kuinstall window store app nyingi ikiwemo facebook, telegram, instagram, instagram downloader, LinkedIn,twitter n.k kasoro whatsapp ndiyo haipo
 
mkuu hapo windows ten iliingia ktk mode ya UEFI wakati ubuntu imeingia ktk mbr partition hivyo ni ishu somehow technical jaribu kuinstall upya ktk uefi mode
Mkuu nakuelewa kwa mbali sana seems kuna kitu cha msingi hapa hebu nieleze vizuri nn nifanye maana nimepoteza data nyingi hadi najihurumia
 
ni madhara gani yatatokea kwenye computer endapo sito activate window?
Km inadai ui-activate lkn ukapuuza baadhi ya features utakosa km kuweka wallpaper kwa ufupi window itakuwa km demo hivi.
Tumia microsoft tool kuactivate
 
hutapata features mpya kama upgrades na new features za baadhi ya programs za microsoft lakini kwa wale wa windows 8 na 10 security yake especially kama huna extra antivirus inahitaji kuwa updated lakini si lazima kama unahakika yaliyopo yanakutosheleza maana nazo zinatumia bundles sana
 
Asante ndugu, vp ni anti virus gani ipo strong iwe ya kununua au ya kudownlod
 
Yangu ni window 8 Alafu saiv inastak stak sana
 
Mkuu nakuelewa kwa mbali sana seems kuna kitu cha msingi hapa hebu nieleze vizuri nn nifanye maana nimepoteza data nyingi hadi najihurumia
by default ubuntu huingia ktk mbr partitions lakini waweza kubadilisha ktk bios setup procedures ntakutumia kesho ni nyingi kidogo boss nisamehe nikafunge milango na kulala natumia bundle ya wife leo ntammalizia kesho asubuhi sana au jioni
 
Asante ndugu, vp ni anti virus gani ipo strong iwe ya kununua au ya kudownlod
Ninayoiamini na nilishawahi kutumia ni karspesky. Hii hata ukitumia trial inapiga kazi poa sana.
Nyingine ni Ashampoo antivirus. Hizi ndizo huwa nazitumia
 
Asante ndugu, vp ni anti virus gani ipo strong iwe ya kununua au ya kudownlod
Ishu ni aina kama unaweza kudownload ile inayonunuliwa zinakuwa sawa tu ila kaspersky, bitdefender and norton ndo most recommended by me
 
by default ubuntu huingia ktk mbr partitions lakini waweza kubadilisha ktk bios setup procedures ntakutumia kesho ni nyingi kidogo boss nisamehe nikafunge milango na kulala natumia bundle ya wife leo ntammalizia kesho asubuhi sana au jioni
Mkuuuu kesho ntakusumbua sana
 
PC yangu (HP Probook6470b) kila nifunguapo page ya internet, inaweza ikatokea page nyingine tena ambayo hata sijaifungua....
 
Back
Top Bottom