patricl
JF-Expert Member
- Oct 2, 2015
- 508
- 299
Ahsante ...mkuuHivyo kwa sisi mostly ni 75k kwa used na 95k kwa new
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante ...mkuuHivyo kwa sisi mostly ni 75k kwa used na 95k kwa new
KaribuAhsante ...mkuu
Habari ya jion ndugu asante kwa kutuwekea hii mada nami ninashida kidogo kuhusu computer.Kutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao
Karibuni
Kama ishu yako ni nzito kama short za motherboard na vinginevyo call or whatsapp 0752367766
Window 10.Napenda kuuliza ni window gan nzuri kwa sasa ambayo haina mapungufu mengi
Tumia recuva hii ni bureee itarudisha data zako ila km unaweza kununua kunaMkuu mimi naomba kujua software ya kurudisha data zilizokuwa deleted kwenye recycle bin, na pia nina hard disk yangu niliifanya kuwa external ilianguka na kutokufanya kazi
Nakupata wapi mkuu??? Naomba msaada wa software ya recuva mkuuTumia recuva hii ni bureee itarudisha data zako ila km unaweza kununua kuna
*MiniTool data recovery
*Hetman data recovery
*Easeus data recovery
*Wondershare data recovery
Kuhusu external kutosoma hapo mpaka niwe nayo mkononi sbb kuna vitu vyingi vya kuangalia. Kuna kufungua kuangalia km kuna vitu vimeachia n.k
Hiyo inapatikana mtandaoni. Ingia google tafuta recuva ni buree.Nakupata wapi mkuu??? Naomba msaada wa software ya recuva mkuu
Japo naingilia majukumu ya mtoa uzi lkn siyo mbaya kwa mm ningekufanyia kwa 15. Mlango ukitafuta kwenye maduka yanaouza vifaa vya pc utapata.Habari ya jion ndugu asante kwa kutuwekea hii mada nami ninashida kidogo kuhusu computer.
Sina uzoefu wa computer, nilipewa computer iliokua inatumika kufundishia aina ya siemems fujitsu.
Ukiiwasha inakuelekeza press f1, ikiwaka kuna sehemu mbili MWALIMU NA MWANAFUNZI.
upande wa mwalimu inabidi uandike password, ila kwa mwanafunzi hakuna password ukipress hapo program zinafunguka.
Ila ukiweka modem, flash inaandika SELECT THE LANGUAGE TO USE DURING INSTALLATION . Sasa ukifanya hivyo ina sema tena
YOU MUST BE LOGGED IN AS AN ADMINISTRATOR WHEN INSTALLING THIS PROGRAM.
Sasa hapo mkuu sijaelewa nifanyeje. Kama shida hii unaweza kuitatua mkuu nikuletee. Na pia ningependa kujua garama zake. Pia hii cpu haina cd drive je kuna uwezekano wa kuweka dvd drive? Na garama zake zikoje nitashukuru sana mkuu kwa msaada wako kila jema
Naweza kupata mawasiliano yako mkuu hata kama ni pm??Hiyo inapatikana mtandaoni. Ingia google tafuta recuva ni buree.
Hi, Nna Lenovo E351 screen inacheza. Kuna kipindi inatulia, kuna wakati inacheza mpaka nitumie external screen ndio naweza kutumia. please assistsKutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao
Karibuni
Kama ishu yako ni nzito kama short za motherboard na vinginevyo call or whatsapp 0752367766
Mkoa gani?Jamaa yangu kama ungekuja huku mkoani kwetu ukafungua kiofisi ungepiga hela ya maana. Huku wapo mafundi wa kubabaisha. Nakumbuka alikuwepo fundi mmoja ivi mkali wahayo mambo but kwa mda mfupi alikuja kuchukuliwa na watu wa nchi ya Rwanda yupo huko. Alikuwa jamaa yangu ndiye alikuwa ananifundishaga ingawa ndo nilikuwa nimeanza mafunzo ila aidia ninayo.
HONGERA SANA KIONGOZI WANGU.
Fundi kama huo nautamani sana ila basi tu sijapataga bahati yakukaa na mafundi