Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

mkuu mimi kuna virus wameingia wamefunga mafaili yangu siwezi kutumia hadi nifuate maelekezo yao sijui nikadownload kitu gani ambacho ntakuwa nmetumia hela.

naomba maelekezo yako ya haraka
 
Habari mkuu, mimi Pc yangu ni aina ya Dell haikuwa na tatizo lolote ila ghafla tu naiwasha haiwaki ila inalia king'ola tu kama vile vya kuashirria moto
 
Fundi mim nina laptop yang HP probook CORE i7 ilikua ktk chaji ikaanguka chini baada yahapo haikuwaka tena ila moto inaonesha unaingia ktk pc tatzo hai display kitu..nmezunguka kwa mafund chungu mzma kariakoo machinga complx had kwa wahindi wamechemka..naomba msaada wako maan naipend san nataman niuze screpa ila nafs inakataa
Nitafute kwa simu
 
T
Habari mkuu, mimi Pc yangu ni aina ya Dell haikuwa na tatizo lolote ila ghafla tu naiwasha haiwaki ila inalia king'ola tu kama vile vya kuashirria moto
Fungus nyuma toa RAM kisha rudishia halafu washa ikigoma hapo nipigie nikuelekeze kwa simu
 
mkuu mimi kuna virus wameingia wamefunga mafaili yangu siwezi kutumia hadi nifuate maelekezo yao sijui nikadownload kitu gani ambacho ntakuwa nmetumia hela.

naomba maelekezo yako ya haraka
Badili windows kama huna mafaili ya muhimu lakini kama yapo zuia background processes zote kisha weka kaspersky antivirus hiyo utainunua halafu scan...ukishindwa just call sometimes kuja humu forum ukiwa bize ni ishu
 
I'm back wakuu baada ya kutoonekana huku kwa siku kadhaa thanks to Johnny impact kwa kuendeleza post hii..
Sometimes nikiwa bize call me..ntakusaidia
0752367766
 
Nina HDD SATA ambayo nikichomeka kwenye PC Inawaka vizuri kitaa chake na ina detect ila sasa ukienda kwenye storage huikuti na kwa umbo ni mpya kimuonekano na haijawahi dondoshwa je hapo tatizo ni lipi kama external naifanya japo ni internal nilijaribu kuiweka kwa kufungua pc ila napo ilionyesha kama haina window maana nilihis labda ina window ndo maana haisomi kama external je nataka kufahamu hapo tatizo laweza kuwa lipi mkuu?! Ahsanteh
 
mkuu naomba msaada wako nimeinstall avast kwenye laptop napata ujumbe huu, na kompyuta imekuwa nzito sana.
IMG_20180707_205452.jpg
 
Mkuu nina HP2000 sijaitumia kama mwezi hivi Ila nimeiwasha hapa haidisplay chochote kioo cheusi lakini taa ya caps lock inablink kila baada ya sekunde3-4,na taa ya WI-FI inawaka.msaada tafadhali
 
Mkuu nina HP2000 sijaitumia kama mwezi hivi Ila nimeiwasha hapa haidisplay chochote kioo cheusi lakini taa ya caps lock inablink kila baada ya sekunde3-4,na taa ya WI-FI inawaka.msaada tafadhali
Install OS
 
Jamani msaada kompyuta yangu ni HP WINDOWS 7 bit 32 processor nikiwasha hailet hata logo ya HDD ikishaleta starting Windows then inaleta rangi nyeusi sasa tatizo nini wakuu msaada
 
Back
Top Bottom