Julius Steven
New Member
- Jul 21, 2020
- 2
- 0
Yangu pia IPO hivi yaan unawasha inaload kama sekunde tano inajizima inawaka tena.Me yangu yaaa n nkiwasha tuu inachuku sekunde 5 inajizima yaan logo ya dell kabla haijamaliza kuload inajizima nikiwasha tena inaishia hapo hapo ilaa nkii zma chmoa betrry ikiiwasha mara ya kwanza inaa ama sekunde 15 inajizima alaf inarud kawaida kwa kwa sekunde 5 tuu inajizima tatizo linaweza kuwa nn mkuu feni ipo vzur
Sorry Mkuu japo Nipo outdated na post. pc yangu cursor inatembea ila uki clik kufungua labda file haifungui mpaka nikawa natumia peripheral (yaani mouse ya pembeni) naweza kupata suluhishoKutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao
Karibuni
Kama ishu yako ni nzito kama short za motherboard na vinginevyo call or whatsapp 0752367766
mkuu computer yangu ina tatizo la kupenda site za porn kila niki fungua JF lazima inionyeshe dem mwenye SNURA
hapo utatakiwa kutumia freebasics kuperuzi jf maana hakutakuwa na adds zozote
mkuu computer yangu ina tatizo la kupenda site za porn kila niki fungua JF lazima inionyeshe dem mwenye SNURA
hapo utatakiwa kutumia freebasics kuperuzi jf maana hakutakuwa na adds zozote
Sorry Mkuu japo Nipo outdated na post. pc yangu cursor inatembea ila uki clik kufungua labda file haifungui mpaka nikawa natumia peripheral (yaani mouse ya pembeni) naweza kupata suluhisho
computer yangu aina ya dell inawaka na kuonyesha logo ya dell tu ikifika hapo haiendelei hata menu ya msaada au window hamnaKutokana na uzoefu wa muda mrefu katika ufundi wa computers (software and hardware) hapa kariakoo nimeona niwasaidie wadau humu wanaosumbuliwa na matatizo ambayo pengine wana uwezo wa kuyamaliza hukohuko nyumbani kwa maelekezo kidogo lakini pia unaweza kuomba ushauri kama ulipeleka wa fundi na tatizo lako halikuisha maana wengi wanapatwa na hayo pia...majibu yangu mengi nitayatoa mida ya jioni na asubuhi sana kutokana na ubize nilionao
Karibuni
Kama ishu yako ni nzito kama short za motherboard na vinginevyo call or whatsapp 0752367766