Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

Among the things nilikuwa conscious ni kuruhusu app za fb kuaccess contact zangu. Nashangaa kukuta Kuna zaidi ya contact zangu 530 ambazo sielewi fb aliziaccess vipi!! Nilikuwa na deny access kila inapoomba kuchukua contact.
Hahah hawa jamaa wanasikiliza adi sauti ya vitu unavyoongea, unaweza ongelea kitu flani afu ile unaingia tu facebook au youtube unakuta wamekuwekea tangazo la icho kitu ulichotoka kukiongelea. Cha ajabu ata hujaruhusu permission ya ku record voice. Cha msingi nikuchagua kuwaamini au kuacha kutumia products zao kabisa, Sizani kama wanalengo mabaya na data zetu kwa mfano kuwapa polisi. Wanaishia tu kuzi suggest na kuuziana kwa ajili ya matangazo. Cuz unaweza google kitu, afu ukaingia facebook ukakitu kwenye matangazo. Kampuni mbili tofauti.
 
Mwenyewe nimeshangaa kukuta contact zaidi ya 400
 
fb.jpg

Nimepata contact nyingi ila sioni mahala naweza export! Msaada...
 
Back
Top Bottom