Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

😂😂😂Hii nayo ni baraa jamaa wanatujua nje ndani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii nayo ni baraa jamaa wanatujua nje ndani
Duuuh!
Hatari sana; Acha Wazungu waitwe Wazungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hawa jamaa wanatujua nje ndani!!!
Among the things nilikuwa conscious ni kuruhusu app za fb kuaccess contact zangu. Nashangaa kukuta Kuna zaidi ya contact zangu 530 ambazo sielewi fb aliziaccess vipi!! Nilikuwa na deny access kila inapoomba kuchukua contact.
Wakuu wala hawatufatilii hizi namba wewe eidha ulizitumia invited sms za kawaida au uliziupload katika kutafuta marafiki fisty time wakati unafungua apps ya facebook au kila unapotumia simu mpya sasa wakati wa kuseti inakuuliza kabisa upload contact ili kupata marafiki zaidi na wewe unakubali sawa
Sema wengi nyinyi ni wazee wa next next na allow tu bira kusoma maelezo
20200422_131835.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu wala hawatufatilii hizi namba wewe eidha ulizitumia invited sms za kawaida au uliziupload katika kutafuta marafiki fisty time wakati unafungua apps ya facebook au kila unapotumia simu mpya sasa wakati wa kuseti inakuuliza kabisa upload contact ili kupata marafiki zaidi na wewe unakubali sawa
Sema wengi nyinyi ni wazee wa next next na allow tu bira kusoma maelezoView attachment 1426472

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nimekusoma daaah! Kweli huo mtindo allow ndio ilikuwa tabia yangu hadi rfk yangu aliponikataza.
 
Watu wengi hawasomi maelezo washazoea next tu au ile ya one tap ku log in facebook siku ukija log out mtu a aka click kwenye picha ako pale nje anazama moja moja kwa bila ku type password so tuwe tunasoma maelezo vizur
 
Wakuu wala hawatufatilii hizi namba wewe eidha ulizitumia invited sms za kawaida au uliziupload katika kutafuta marafiki fisty time wakati unafungua apps ya facebook au kila unapotumia simu mpya sasa wakati wa kuseti inakuuliza kabisa upload contact ili kupata marafiki zaidi na wewe unakubali sawa
Sema wengi nyinyi ni wazee wa next next na allow tu bira kusoma maelezoView attachment 1426472

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nilikua najiuliza fb kapataje contact zangu wakati nilikuwa nadeny acess? muda huu ndo nimerealize kumbe nilikuwa naruka mkojo nakanyaga kinyesi. Facebook aliinunua WhatsApp Mwaka 2014 WhatsApp iko directly linked na Facebook. Ko nimegundua data zilizopo hapo zilitoka kwenye WhatsApp yangu mwenyewe tena kwa kuiruhusu bila kinyongo. Maana bila kuruhusu access ya contacts huwezi enjoy power ya WhatsApp. Ko jamani hali ndo hiyo.
 
Back
Top Bottom