Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

Mimi sijakuta contact yeyote, hii imekaaje???
 
Among the things nilikuwa conscious ni kuruhusu app za fb kuaccess contact zangu. Nashangaa kukuta Kuna zaidi ya contact zangu 530 ambazo sielewi fb aliziaccess vipi!! Nilikuwa na deny access kila inapoomba kuchukua contact.
Hao contacts zako wana namba yako na wameruhusu access.

Facebook ni too invasive. Nimefuta akaunti kabisa zaidi ya miaka miwili iliyopita.
 
Ha haaaa
Nimekuta namba zaidi ya elf3 aisee
Uzuri ni kwamba nilikua na demu wangu kitambo sana nilipoteza no yake.........nimempigia hata haamini
 
Asante sana bro,nimepata namba ya mpenzi wangu kipind nipo primary [emoji28][emoji1787][emoji1787]
Mi,i sijaelewa kidogo, kwa mfano ;
Umeanza kujiunga na facebook tuseme wiki mbili zilizopita, na simu yako unayotumia line ni nyingine na sio hiyo tena
(madharani ya awali ilipotea na tena ilikua kwenye kitochi)

Bado unaweza kupata nambari za kwenye hiyo line nyingine.?
 
Back
Top Bottom