Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

Nimepata namba zote za kuanzia na maadui, wadeni wangu, matapeli mpaka na namba za michepuko ambayo nilishaidelete kabisa kwenye akili yangu 🤭
 
Nimepata namba zote za watu wangu kuanzia na maadui, anadaiwa wangu, matapeli mpaka na namba za michepuko ambayo nilishaidelete kabisa kwenye akili yangu [emoji2960]
We kama mimi,ila nimepata na ya profesa mmoja hivi,na dili nimepata,pesa inaingia,[emoji23][emoji23][emoji119],sasa hawa michepuko bwana...wote wapo hewani...wakinipea sijui nitawezana!![emoji87][emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtoa post unampa gawio, nkupe M-pesa namba? [emoji23]
 
Hawa facebook si wajinga hata kidogo hata kale kaujumbe kao ka ‘people you may know” usikapuuzie waweza kuta miongoni wa hao watu ndiyo wanao kugongea mke

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa facebook si wajinga hata kidogo hata kale kaujumbe kao ka ‘people you may know” usikapuuzie waweza kuta miongoni wa hao watu ndiyo wanao kugongea mke

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa noma kweli yaani

California love
 
Ila nimeshindwa kuzirudsha kwenye contacts zangu nisaidie
Here's how to Sync facebook contacts to Android in a simple way:
1. Open the Facebook application on Android and login (for those who have just installed the application).
2. Click the Menu button and select Settings.
3. Swipe down until you find the option "Sync Contacts".
4. Click on Sync Contacts and 3 options will appear, namely "Sync all", "Sync with existing contacts" and "Remove Facebook data".
5. If you select "Sync all", all contacts (including albums, tagged photos) on your Facebook will be imported while if you select "Sync with existing contacts", Facebook contacts are imported according to existing cell phone contacts inside Your Android phone and if you select "Remove Facebook data", all Facebook data on your cellphone will be deleted.
That's how to sync facebook contacts to Android. thanks.
 
Habari Wakuu i hope mko vema!,

Shida naomba Wakuu mnisaidie kuna ule uzi wa namba zako za zamani unaweza kuzipata Facebook,

Nimetafuta ule uzi umenikosa msaada tafadhali.🙏
 
Aisee asante sana, nimepata namba za tangu mwaka 2009 nilishazipotezaga aisee hawa jamaa ni hatari
 
Back
Top Bottom