mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,041
- 257
Iphone tufanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii kitu ilipata solutions?View attachment 1426155
Nimepata contact nyingi ila sioni mahala naweza export! Msaada...
Habari wa JamiiFirums,
Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya.
Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
Tafdhali tembelea kiunganishi hiki: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
Mkuu cloud ndo wapiAisee, ni vizuri sana kwa kweli. Nilishawahi kupoteza namba ya dem hivi ila siku ya siku nikaingia cloud nikakuta hadi text zetu na yaliyoendelea hadi leo tangu 2016 yanafurahisha
Nenda Facebook lite harafu settings harafu waapakiaji waasiliani ila ubadirishe lugha iwe ya Kiswahili ndo utaona 😁Asante ila ukiachana na kushea link hebu tupatie process ya kuingia kupitia facebook lite yenyewe.
Asante binafsi hata mimi hua natumia kiswahili.Nenda Facebook lite harafu settings harafu waapakiaji waasiliani ila ubadirishe lugha iwe ya Kiswahili ndo utaona 😁
cloud ni mawingu ila kiteknolojia ni mahali au servers ambapo data hutunzwaMkuu cloud ndo wapi
Taratibu na shemeji yako, usije ukamuingiza dhambini mleta mada.Shukrani muanzisha mada nimepata no za muhimu ..na za shemeji yangu ndo nachat nae kwa kweli
Kweny simu unajngilia wap iyo sehem mkuucloud ni mawingu ila kiteknolojia ni mahali au servers ambapo data hutunzwa
Ni sehemu nyingi Mkuu, Mfano Google photos kwa ajili ya Picha, backup and restore, Dropbox na kadhalikaKweny simu unajngilia wap iyo sehem mkuu