Aisee hawa jamaa wanatujua nje ndani!!!Nimejisikia ku share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
Mimi nimekuta contacts 513 na namba nyingine watu nilishawapoteza!!Among the things nilikuwa conscious ni kuruhusu app za fb kuaccess contact zangu. Nashangaa kukuta Kuna zaidi ya contact zangu 530 ambazo sielewi fb aliziaccess vipi!! Nilikuwa na deny access kila inapoomba kuchukua contact.
Ila nimeshindwa kuzirudsha kwenye contacts zangu nisaidieNimejisikia ku share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
unafanyaje, mbona sijapata kituNimejisikia ku share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
Hahah hawa jamaa wanasikiliza adi sauti ya vitu unavyoongea, unaweza ongelea kitu flani afu ile unaingia tu facebook au youtube unakuta wamekuwekea tangazo la icho kitu ulichotoka kukiongelea. Cha ajabu ata hujaruhusu permission ya ku record voice. Cha msingi nikuchagua kuwaamini au kuacha kutumia products zao kabisa, Sizani kama wanalengo mabaya na data zetu kwa mfano kuwapa polisi. Wanaishia tu kuzi suggest na kuuziana kwa ajili ya matangazo. Cuz unaweza google kitu, afu ukaingia facebook ukakitu kwenye matangazo. Kampuni mbili tofauti.Among the things nilikuwa conscious ni kuruhusu app za fb kuaccess contact zangu. Nashangaa kukuta Kuna zaidi ya contact zangu 530 ambazo sielewi fb aliziaccess vipi!! Nilikuwa na deny access kila inapoomba kuchukua contact.
Mwenyewe nimeshangaa kukuta contact zaidi ya 400Hahah hawa jamaa wanasikiliza adi sauti ya vitu unavyoongea, unaweza ongelea kitu flani afu ile unaingia tu facebook au youtube unakuta wamekuwekea tangazo la icho kitu ulichotoka kukiongelea. Cha ajabu ata hujaruhusu permission ya ku record voice. Cha msingi nikuchagua kuwaamini au kuacha kutumia products zao kabisa, Sizani kama wanalengo mabaya na data zetu kwa mfano kuwapa polisi. Wanaishia tu kuzi suggest na kuuziana kwa ajili ya matangazo. Cuz unaweza google kitu, afu ukaingia facebook ukakitu kwenye matangazo. Kampuni mbili tofauti.
++Nimejisikia ku share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu.
https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
Inonyeze jiyo nmaba... Itadisplay full then utaicopy pembeniIla nimeshindwa kuzirudsha kwenye contacts zangu nisaidie