INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Tatizo lenu mnaonyesha finishing za nyumba za mtandaoni badala ya kuonyesha ramani zenu ili tushausike
Mkuu hizi ni 3d ambazo unapochorewa ramani yako zinakuwa zimeambatanishwa na ramani yako kama vile
Mchoro wa ramani
Elevation
3d zake ambazo zinakuwa zinaonesha pande zote za nyumba yako zitakavyo kuwa so hizi ni kazi zetu kabisa na zishakabidhiwa kwa wateja wetu karibu sana mkuu
 
Tatizo lenu mnaonyesha finishing za nyumba za mtandaoni badala ya kuonyesha ramani zenu ili tushausike
Kuna dogo mmoja alikuja kwangu kwa Gear hiyo lkn nilichogundua ni kuwa wengi wao wana-copy kwenye mtandao lkn hawawezi kabisa ku-customize kuendana na hali halisi. Hii kitu inabidi wabadilike kabisa Nyumba ya Russia si sawa na ya TZ wataalam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…