INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

INAUZWA Pata ramani nzuri na za kisasa Mwanza hata ukiwa mikoani tutakufanyia kazi yako

Kuna dogo mmoja alikuja kwangu kwa Gear hiyo lkn nilichogundua ni kuwa wengi wao wana-copy kwenye mtandao lkn hawawezi kabisa ku-customize kuendana na hali halisi. Hii kitu inabidi wabadilike kabisa Nyumba ya Russia si sawa na ya TZ wataalam
Mkuu unacho ongea ni kweli kabisa lakini kwetu sisi hizi ni kazi zetu wala usiwe na shaka karibu sana
 
Mimi ningependa unipa picha za nyumba za hapo hapo mwz ulizo cholea ramani kuliko nyumba za mitandaoni, tena kibaya zaidi mnaonyesha finishing za nje badala ya kunyensha achterctuaral work ya ndani kwenye nyumba
Hamna picha za mdandaoni boss hapo hizo picha zote ni za wateja wetu kama kuna hotel hapo nimeiweka iko kapripoint iko kule juu ukipita mwanza international karibu sana boss na ukihitaji maelezo zaidi nitakupatia kiongozi
 
Mbona hizi nyumba zipo tanzania boss kama upo mwanza naweza kukupeleka ukashuhudia karibu sana mkuu
Sasa mkuu mie ni mteja wako mtalajiwa, naomba unielekeze hizo nyumba mwz iko wapi niende kuiona physically ukiondoa hiyo hotel ya kauri point.
 
Pata ramani nzuri kwa gharama nafuu

Apartments
HOST%20(1).jpg
 
Hakuna watu wananishangaza kama hawa wanaojiita wachora ramani.

Wanatangaza biashara kwa kutumia picha za ku download.

Kwa nini msitumie kazi zenu halis??? Kwa bahati mbaya sana unakuta picha ya nyumba moja inatumiwa na na watu wengi zaidi.
 
Kiongozi sio wote tunaofanya hivyo siwezi kukukatalia wapo wanaofanya hivyo ila wengine kazi zetu tunazikubali karibu sana mkuu
 
Kaka kwenye swala la ramani kila ramani ina bei yake inategemea unahitaji ramani ya namna gani kuna ramani za shule,hostel,apartments, hotel,residential house karibu sana mkuu ni maelewano tuu
weka ramani na bei yake mkuu shida nini?
 
Back
Top Bottom